Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,625
- 38,751
Wadada nawaomba Sana mkiwa mnaenda dukan asubuhi kununua vitafunwa au kupeleka watoto shule muwe mnavaa Sidiria jamani.
ShikamooUkisikia paaaah!
Umekalia seat ya mtu hapaUkisikia paaaah!
Mngh!Shikamoo
Hahahahaaaaaa[emoji23] [emoji23]Umekalia seat ya mtu hapa
ZmefanyajeMngh!
Wewe na hizi shikamoo zako hizi!!
Marhabaaa, mzima ww?
Asante kwa kuwa kwako mzimaZmefanyaje
Nko mzima
[emoji23] [emoji23] [emoji23] asubuh asubuh wanakua na nguo nyepes sanaanhaa ndio sababu ya mimi kuamka mapema na kukaa kibarazani
Si ndio maana akawaomba sana jamani[emoji23] [emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]tumekusikia mkaka ila Mimi jamani sidiria sizipendi ujue mpk sasa Mara nyingine sivaagi
NawasalimiaAsante kwa kuwa kwako mzima
Salimie wanao wawili
Hapana nimewaomba tu ili waepushe mengiWanakudatisha et.
Jose wapUkisikia paaaah!
Hawajui kwamba kuwa ktk hali hiyo wanasababisha uvimbe wa asili kwa baadhi ya watu sio![emoji23] [emoji23] [emoji23] asubuh asubuh wanakua na nguo nyepes sana