Hivi ni mahari kukataliwa au kijana wa kiume ndio unakataliwa kwa njia nyingine!

kese

Member
Jun 4, 2015
39
19
I'm really sorry guys i didn't know if it was going to be that much productive.
with due respects
thanks in advance....
 
Attachments

  • hacker.jpg
    hacker.jpg
    9.3 KB · Views: 31
Vitu vingine ni utani na dharau...

Unaambiwa mahari million3...

Unaomba ulipe miliion2 sawa, alafu hapo hapo unasema unatanguliza miliion1 kwanza zingine taratibu, ni kuwapotezea muda wenzako...

Cc: mahondaw
 
Huyo hatakiwi tu, kama walishabargain wakaelewana hayo mengine ya nn?? Huyo binti hakumpenda huyo kaka, mana angekua anasimamia msimamo wa kumtaka yeye tu kungekua na mwanga ifikie hatua waelewe hali ni ngumu hata hiyo moja mtu umejikaza vinginevyo angekua na uwezo angetoa zote
 
Vitu vingine ni utani na dharau...

Unaambiwa mahari million3...

Unaomba ulipe miliion2 sawa, alafu hapo hapo unasema unatanguliza miliion1 kwanza zingine taratibu, ni kuwapotezea muda wenzako...

Cc: mahondaw

Haha unakua umemkopa kwanza.. hivi kwa ambao wanatanguliza kidogo badae kwenye kumalizia inakuaje!??? wakwe wanadai kama deni ama?? make Kuna wengine wakishatanguliza hio na binti anamchukua sasa kwenye kumaliza mahari ndo naomba kujuzwa kama wanadai ama!???
 
Mahari sio lazima kulipa yote ,maelewano tu ata miaka kumi badae unamalizia tu,
 
Hali hazifanani hana uwezo wa kutoa hizo kwa mkupuo ndio mana ametoa kwa awamu mkuu

Hilo linaeleweka...

Ila ndugu na kamati itakua wamemuona jamaa mbabaishaji, kwanza kataka punguzo la miliion1 ni sawa hakuna tatizo.. hapo hapo anatangulizi million1...

Angesema jamani uwezo wangu ni million1.5 natanguliza million1 kwanza...

Cc: mahondaw
 
Haha unakua umemkopa kwanza.. hivi kwa ambao wanatanguliza kidogo badae kwenye kumalizia inakuaje!??? wakwe wanadai kama deni ama?? make Kuna wengine wakishatanguliza hio na binti anamchukua sasa kwenye kumaliza mahari ndo naomba kujuzwa kama wanadai ama!???

Hapo ndiyo penye utata pia mahondaw wangu, utakuta marehemu anadaiwa mahari hajamalizia ya toka mwaka 1962...
 
Hilo linaeleweka...

Ila ndugu na kamati itakua wamemuona jamaa mbabaishaji, kwanza kataka punguzo la miliion1 ni sawa hakuna tatizo.. hapo hapo anatangulizi million1...

Angesema jamani uwezo wangu ni million1.5 natanguliza million1 kwanza...

Cc: mahondaw
Me naona hatakiwi tu
 
Me naona hatakiwi tu

Kwa mujibu wa mleta mada, utata ulikua kwenye uchache wa mahari, ndugu wamekataa...

Kuna familia zingine zipo poa sana wasikilizaji na waelewa sana... ila kuna familia zingine, binti anaolewa wanataka kupatia hapo hapo, wanakomaa haswa..

Hilo lipo kwa kweli ndio mana nikawa najaribu kujiuliza nanhali ilivyongum hivi wanashindwa nn kuelewa
 
wanawake wengi sana wabure kabisa, unaanzaje kutoa m2 kwa ajiri ya mke na hauna uwezo Wa kuipata nyingine ndani ya miezi 6?

Mimi huu upumnavu siwezi
 
Haha unakua umemkopa kwanza.. hivi kwa ambao wanatanguliza kidogo badae kwenye kumalizia inakuaje!??? wakwe wanadai kama deni ama?? make Kuna wengine wakishatanguliza hio na binti anamchukua sasa kwenye kumaliza mahari ndo naomba kujuzwa kama wanadai ama!???
Mahali haimalizwagi mama..
 
Back
Top Bottom