kishumbaz
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 1,553
- 2,176
wivu wa mapenzi ni kitendo mara nyingi kinachangiwa na kukosa kujiamini au kutomuamini mwenza kwako.
tumeshuhudia matukio mengi ya kuua ama kujiua kwa wapenzi au mpenzi katika sehem mbalimbali hapa nchini mwetu, nmekuwa nkijiuliza haya matukio tatizo ni vyuma kukaza au kuna tatizo jingine!