Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari za Al Ijumaa wapendwa, siku inaanza hivi... Kuna mkaka nimekuwa nikiwasiliana nae kwa muda mrefu tu ila hatujakaa meza moja kuongea. Muda wote mawasiliano ji ya simu email na mazaga zaga...
0 Reactions
32 Replies
5K Views
Uzi huu ni maalumu ili kutatua utata unaoendelea juu ya pande hizi mbili na inawezekana kabisa hakuna ukweli wowote ila niimani tu iliyojengeka kwa baadhi ya wanaume. Kila mwanamke ana sifa zake...
1 Reactions
152 Replies
14K Views
Ndoa huwa siyo mashindano kati ya mke na mume. Mashindano na mabishano ndani ya ndoa yamekuwa yakiwagharimu wanandoa wengi sana. Kwa sababu tu ya kukosa uwezo wa mtu mmoja mmoja ndani ya ndoa wa...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Hapa kwenye nyumba Huku kwetu Kwamtogole tupo wapangaji nane. Watano vyumba vya ndani na watatu vyumba vya uani. Nyumba ina maji na umeme na iko karibu na barara kubwa. Mama mwenye nyumba...
6 Reactions
26 Replies
3K Views
Mapenzi huwa matamu pale yanapoenda na kurudi. Ukitoa penzi, pokea penzi. Kinyume na hapo ni mateso matupu! Kuna mambo ya kufanya pale ambapo mtu unayemzimikia halafu yeye hana feelings kabisa na...
26 Reactions
129 Replies
18K Views
Nitajaribu kuiweka iwe interesting lakini nivumilie kidogo. Lets go into a classroom (Hata kama sio vitu zako soma!) Ufunguo: Kuna metali (Metal, kama vile chuma, shaba n.k) na...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Inakuwaje mwanaume mzima ukiwa na zana zote unashindwa kumridhisha mkeo. Wale Malesbian hawana 'vifaa' muhimu lakini bado wanawaridhisha wenzao sembuse wewe mwanaume mwenzangu? Mapenzi ni fani...
16 Reactions
310 Replies
23K Views
Nimepanga kwenye chumba kimoja maeneo ya kigamboni. Na ninaishi kisela, maisha ya kigumu. Sina mke wala demu, na sitaki demu. Sitaki kabisa kusikia huo utumbo. Hapa nilipo nina hasira hadi...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Huyu dada nimekuwa nadate naye miezi kadhaa sasa. Juzi juzi kafumania text ya demu mmoja kwenye simu yan akishukuru kuwa ali enjoy kitendo tulichofanya tukiwa wawili. Demu wangu alinitukana sana...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
1. Kipindi mwanamke akiwa na ujauzito hasa siku zake za mwishoni ambazo ufanisi kitandani unapungua sana au hafany kabisa tendo la ndoa. Hapa wanaume wengi hushindwa kuwa na subra na hujikuta...
3 Reactions
56 Replies
5K Views
Nampenda huyu mwanamke na ninasita kumwambia kutokana na mazingira.. By the way nmekutana nae kwenye mitandao tukabadilishana namba na pia tumeshaonana kama mara mbili.. She is very cute, black...
3 Reactions
54 Replies
5K Views
Habari wana jukwaa, hizi ndio tofautu kubwa kati ya ubongo wa mwanaume na ubongo wa mwanamke 1. Ubongo wa mwanamke unaweza kufanya mambo mawili kwa wakati mmoja; mfano kuzungumza kwenye simu na...
6 Reactions
70 Replies
15K Views
Ilizoleka wanaume kupenda vitu vya kiume kiume yani vitu vya kibishi au vigumu gumu na ndivyo vilivyofanya wanaume wakawa wanaume haswaa,lakini wanaume wa siku hizi wanapenda vitu laini laini...
13 Reactions
80 Replies
8K Views
Wajameni, Sijui ni kwa wote au baadhi wa wanaume kadri umri unavyokwenda macho yako yanaona kila mwanamke mzuri tu. Yani kuna type za wanawake ambao usingewaangalia mara mbili mbili by the time...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Natumai mko salama wana JF, Wadau, wabobezi, wajuzi, wakereketwa na wenye ufahamu wote mnaojua kwa undani kuhusu concept ya chemistry of love humaanisha nini kwa upana zaidi tupeni mwawazo yenu...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Show za kibabe ndio tamu na ndio mapenzi yanyewe tusianze kulazimishana kila tendo ni kufanyia chumbani (kitandani). Raha ya mapenzi ni popote ukiwa na hamu unachojoa mtwangio waja siyo mpaka...
4 Reactions
226 Replies
16K Views
Mpende mke wako mzuri, usimkaripie mke wako ukiwa unaongea nae inamuumiza sana, Usimuongelee mkeo ubaya kwa mtu yeyote, mke wako atakua kile ambacho unamuita, Usimpe mwanamke mwingine upendo...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
Enyi wadau wa kike, Hivi ni kweli mnaweza kumjua mtu size ya maumbile yake (uume) kwa kumuangalia tu kwa nje? Kuna siku nilikuwa nimekaa sehemu nikawa namtania dada mmoja anipe mdogo wake...
1 Reactions
63 Replies
18K Views
Habari wana jf kwa majina naitwa Nailath Nassor 23yrs natafuta mtu wa kunioa,awe serious,mcha mungu,dini yoyote,kabila lolote,umri 25-30 na atakayekuwa tayari kwa vigezo ntakavyomwambia,atakaekuwa...
7 Reactions
84 Replies
11K Views
Wanaume wengi siku hizi wamekuwa na tabia za kutaka kuishi maisha fulani hivi ya kitajiri wakati uwezo wa kufanya kazi hawana,wameamua kukimbilia kwa waganga kwenda kuzima nyota za wenzao,yaani...
13 Reactions
147 Replies
9K Views
Back
Top Bottom