Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

wakuu kuna jamaa yangu mkewe wake kadi ya kliniki imepigwa mhuri nimeshangaa,maana sijawahi kuona watu wanadai mjazito mwenye ukimwi ndio kadi zao zinapigwa mhuri
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Naandika huu uzi wakati tone la chozi lanitoka, Kila nikifikiria na nikikumbuka tulipotoka, Mimi na huyu nimwitae mpenzi wangu, Ni karibu miaka 5 sasa amekuwa wangu, Lakini...
2 Reactions
120 Replies
19K Views
WAPO WANAUME WANAPITIA CHANGAMOTO HII. SHARE ! SHARE Kama mwanaume unajisikiaje kupitia jambo hili? Kwangu ilikua ngumu sana, nakumbuka mwanzoni mambo yalikua yanaenda vizuri huko ndani...
0 Reactions
41 Replies
8K Views
Ukiwa denti ukapenda skirt, kama si Leo ni semester ijayo lazima uangukie pua Ukiwa baba wa familia ukaendekeza michepuko, familia lazima ikushinde na utazalauliwa hadi na watoto Ukiwa Boss...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Awe anatokea Arusha. Umri kuanzia 27 to 30, awe handsome na of corse awe stable kipesa pia awe anajua mapenzi mambo ya kuchafuana ctaki mie.
2 Reactions
75 Replies
9K Views
Rejea tu Kichwa cha Habari hapo kisha utiririke na userereke zako tu tafadhali. Nawasilisha.
0 Reactions
16 Replies
7K Views
Dada angu ananambia Bora upate mwanaume mwenye sura mbaya kuliko mwanaume Mjinga. Yani mwanaume mmoja mjinga ni sawa na wanawake 10 vichaa. Na leo nimeamini kuna miwanaume ya dar imegongana na...
3 Reactions
60 Replies
5K Views
Hongereni kwenu wanawake ambao hamkati tamaa katika maisha. Kuna dili moja nilipiga la pesa ndefu tena jeusi lakini hadi kukamilisha kwake mwanamke ndio alihusika sana japo nilikua na vidume...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Habarini wana Jei Efu ,naamini ni wazima. Salam za kwanza zimfikie @Faizafox akiwa ughaibuni . Niende kwa mada Moja kwa moja, kjna ili swala la mahusiano mnakaa labda let say miaka 3 kwenye...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari Zenyuuu..... Nimewathiiiii hahahahhhaa Kama kawaida ya Kasie kama dawa mahaba mtindo mmoja. Kaona mambo iko huku.... taarabu imoo taarabu imooo, kaona mambo uko hukuuu weeehh...
3 Reactions
130 Replies
8K Views
Umempata na ukawatambia watu wote kuwa mwaka huu umeopoa zinga la bwana. Mara ameanza kubadilika. Kuna aliyekumegea kuwa amepata girlfriend. Umemuuliza habari hiyo jibu ni kukublock
7 Reactions
101 Replies
7K Views
KIPENZI WEMA SEPETU. Peni yangu kurasani, japo mie ni kurutu, Mtima mahakamani, wakuhenza mwanakwetu, Hunitoki kinyuwani, nakuita mara tatu, Kipenzi wema sepetu, nikubali nikuowe. Nikubali...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Naomba kuuliza wana jf wazazi wengi wamekuwa wakiwasisitiza watoto wao kupata watu sahii katika mahusiano pengine wakifiria kwamba wasije wakateseka na maisha ya ndoa wanayo yaendea. Swali ni...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadada wa sikuizi sijui wanavichwa gani!! Nisameeni kama nimewauzi ila ni ya moyoni tu. Unakuda mdada anajipendekeza kwako anatafuta namba ya mwanaume, unaipata unaanza kujipendekeza unashoboka...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nimepata waraka wa kushangaza... ooh Kasie hivii mara Kasie vile... Majibu ya waraka haya hapa.... Hizi ni zama za ukweli na uwaazi, ukimpenda mtu bwana, ukimtaka mtu mwambie ukweli na sio...
3 Reactions
27 Replies
16K Views
Mwanaume mmoja huko nchini Uingereza muda wowote anapanga Kujiua / Kujinyonga kwa kile anachodai kwamba haamini Mwanamke ambaye Yeye ( Mwanaume ) aliamua Kujitolea kumpa Figo kwa sharti Kuu la...
6 Reactions
96 Replies
8K Views
Wanasema mapenzi pesa!sasa Tajiri namba moja Africa ameshindwa kukaa na wanawake watatu tofauti hadi Leo ni single Dad! Utasemaje mapenzi pesa!!I can't imagine!sio yeye tu peke yake watu kama...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Assallam_aleykum ndugu zangu, ●kwa niaba ya mwanachama #77 wa chama cha kiben10 Dar (CKD) Anaomba Usahuri wenu kwa hili jambo ambalo naona linakuja kuhappen soon, Mimi ninaishi na (JIMAMA)...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari! Hili ni tatizo la wengi. Unaweza ukamuona mtu na heshima zake kabisaa, kumbe amejaza porns kwa simu au pc yake. Siku moja nilimtembelea kiongozi mmoja wa dini, nikaomba simu yake...
4 Reactions
153 Replies
26K Views
Mimi ni mwanaume, mwenye umri 33,mkristu,nina elimu Ya kawaida, nina Kazi tyr, muonekano Wangu ni wakawaida. Natafuta mwanamke wakuoa mwenye umri 20-28 ,anaye jitambua, na mwenye nia ya Kweli...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…