Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wanajopo naombeni kusaidiwa kuitrace simu yangu iliyopotea/kuibiwa... Mwenye ujuzi huo tuwasiliane 0652823089
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Naitwa Luqman kutoka Kenya nko na 28yrs na natafuta mchumba umri wake uwe chini ya 28yrs, awe atleast amefika secondary kidato cha sita Tanzania. Rangi na kimo chochote sichagui wala dini pia. Mi...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Kwenu wanawake wa kizazi kipya!!! Una sura nzuri? Una umbo kali? Nataka mke wa namna hiyo. Mimi nilishatangazaga hapa kuwa nataka kuoa. Lakini songobingo nilizokutana nazo mpaka nikaahirisha...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Utangulizi.... Eeeh sina shaka kabisa. Najua uzi wangu huu hautaamishwa na kufungiwa wala kuwekewa hiden mode . na naweka bayana mimi sio member wa jukwaa la wakubwa hivyo sihusiki hukooo...
4 Reactions
37 Replies
3K Views
Habari za jioni Naomben mnijuze kwa wanaojua Ninahitaji Kupata TIN NUMBER.. Kwa ajili ya biashara ingawa biashara bado sijaanza JE vigezo gani vinatakiwa Au mpaka niwe nimeshaanza biashara?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Imezoeleka sana watu kuchanganya kitendo cha kufanya mapenzi na kufanya zinaa na kuona kuwa vyote viwili vina maana moja. Ukweli ni kwamba kufanya mapenzi ni tendo kati ya Mwanaume na Mwanamke...
2 Reactions
28 Replies
4K Views
KWENU WADADA WADADA MNISAMEHE KIDOOOGO! Samahani sana Hakika ni kwamba Wanaume wengi hawajafikia ndoto zao, wanatamani kupata wanawake watakaowatia moyo kuwafikisha kwenye ndoto zao! Ukweli...
17 Reactions
138 Replies
9K Views
Natumai wote tu wazima. Naitaji rafiki naomba nieleweke wazi rafiki jinsia ya kike umri kuanzia miaka 40 and above ambaye yupo stressed kwa ajili ya kubadilisha mawazo, ushauri, miongozo n.k...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
- Nyang’hwale. Aghalabu watoto wa kike walio wengi wenye umri wa chini ya miaka 18 na waliofaulu kuendelea na masomo ya sekondari, huchukizwa na kitendo cha kuozwa. Lakini kwa Maria Fimbo, (siyo...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu, nimefuatilia muda mrefu hawa wamama ambao wakipata mwanya wa kuwaadhibu watoto wao, hutembeza kipigo cha haja/ cha mbwa koko na nimegundua kuwa huwa na chuki kama sio kuwapenda waume zao...
5 Reactions
48 Replies
3K Views
Nyang’hwale. Aghalabu watoto wa kike walio wengi wenye umri wa chini ya miaka 18 na waliofaulu kuendelea na masomo ya sekondari, huchukizwa na kitendo cha kuozwa. Lakini kwa Maria Fimbo, (siyo...
2 Reactions
0 Replies
735 Views
Habari wakuu, Nimefanya kautafiti kangu kafupi nimegundua moja kati ya tabia ya wanawake wengi wa kibongo inayokera ni hili swala la kutoheshimu miadi "appointment".Wanawake wengi wa kibongo...
8 Reactions
184 Replies
14K Views
Jamaa anaswa akila uroda kwenye kitanda cha swahib wake wakti mwenye mali kaaga kaenda kazini usiku, si unajua kazi za lindo tena! Basi mme aliponasa tukio live, akawaomba waendelee na...
2 Reactions
27 Replies
5K Views
Habari wanajamvi Mwezi uliopita tulikwazana na aliyekuwa mpenzi wangu...hadi kufikia hatua ya kuvunja mahusiano kwa tabia zake Siku za hivi karibuni...nimekutana nae akiwa na mwanamke...
12 Reactions
169 Replies
12K Views
Mwanaume anaeitwa Simon Louis (49) amekataliwa ombi lake na mpenzi wake la kumuoa Mary Emmanuella (41) ambaye ni mpenzi wake aliyempenda mpaka kuokoa maisha yake mara baada ya kujitolea figo yake...
1 Reactions
6 Replies
969 Views
Nilitokea demu mmoja ana rafiki wengi wazuri, cha kushangaza demu mwenyewe ananiwekea mapozi sasa kasafiri huko mikoani rafiki zake wananishobokea sana wananitega hivi nikitoka na wote kimya kimya...
5 Reactions
88 Replies
9K Views
Natumai wote wazima na poleni pia kwa majukumu yenu. Nimejitokeza rasmi kutangaza Kwenu kuwa natafuta Rafiki wa Kike ambaye tukiridhiana basi atakuja kuwa Mchumba na Mke wangu rasmi. Wasifu...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
kama kichwa cha mada hapo juu kinavyosema JINSI YA KUKOMESHA MIZOZO NYUMBANI Kutokana na matatizo mbalimbali hasa ya kimahusiano yawapatao walioko katika ndoa mara nyingi... Na uanzishwajinwa...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
  • Closed
Hapa kuna mambo matatu ambayo mwanaume au mwanamke au wote pamoja watafanya ambayo sio sahihi kwa jamii lakini ni sahihi kwake binafsi 1: MAPENZI SIO VITA Kundi hili wapo wale wanaoona mapenzi...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Kichwa cha habari na mada havihusiani samahanini. Wadau. Haya tuendelee na somo letu. Hili pendwa. Thread hii omeshafutwa mara 3 ndani ya dakika 17 Ahaahaa kwanza kabisa naomba niweke bayana...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Back
Top Bottom