Baadhi ya wanawake ni wazuri kwenye show nyeusi

moto wa maji

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2016
Posts
4,174
Reaction score
3,007
Hongereni kwenu wanawake ambao hamkati tamaa katika maisha.
Kuna dili moja nilipiga la pesa ndefu tena jeusi lakini hadi kukamilisha kwake mwanamke ndio alihusika sana japo nilikua na vidume lakini wao walikua mguu nje mguu ndani tena kwa uwoga sana.
Nasema tena hongereni wanawake wenye ujasiri wa kutafuta.
 
Deal gani hilo
 
Back
Top Bottom