Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wanawake wa Bongo bana Ukikana mimba "anakupeleka ustawi wa jamii" Ukikubali mimba "baadae anakwambia mtoto sio wako" Hivi kwanini mpo hivi?!
12 Reactions
107 Replies
7K Views
Habarini za asubuhi wapendwa Hivi nyie wanaume wa sasa mbona mwajidhalilisha hvi jamani,hiv mwanaume mzima unaoa mke tena wa ndoa takatifu kabisaa...unaishi nae,anawezaje kurudi saa saba usiku au...
4 Reactions
123 Replies
8K Views
Nina girlfriend wangu ambae tumedumu kwa muda wa miezi nane kwenye mahusiano na mpaka leo bado tupo pamoja.Mara nyingi huyu mpenzi wangu kabla hatujakutana kimwili huwa kuna vidonge anatumia...
2 Reactions
53 Replies
5K Views
Hebu tia neno hapa mkuu, Mkeo/Mumeo alitoka nje ya ndoa kweli lakini unagundua lengo kuu lilikuwa ni kukusaidia wewe aidha Kimatibabu, kukutoa gerezani, Mahabusu, Kukulipia Gharama za masomo na...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Ni tukio lililotokea muda huu hapa mtaani kwangu Mwanaume alikuwa amesafiri,karudi usiku huu kwake bahati mbaya kabla ya kubisha hodi,akakuta dirisha la chumbani kwake lipo wazi Akaenda pale...
12 Reactions
64 Replies
13K Views
Wakuu kiukweli hii hali imepanda ghafla na imekuwa common yaani kila simu ukipokea ya kuombwa pesa mara nyingi kutoka kwa wanawake na wanaume wachache hakika hujipangia kiwango na huitaji...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wana jf husika na kichwa cha habari naenda direct to de point kuna demu nilimfukuzua kama mwezi na nusu hivi sasa baada ya kumpata kama ilivyo ada zombie hashibi damu kuna siku nikaomba...
0 Reactions
80 Replies
7K Views
Nimempatia mtaani kwetu sio Jf...ana miaka 23yrs....maelezo mengi nimepunguza maana watu wasiojielewa wameanza kunitukana na kunipa majungu kisa tu nimebahatika kuwa na demu bikra....muandamne bac...
3 Reactions
30 Replies
4K Views
Habari wana jamvi. Kuna manzi amenihangaisha na kunisumbua siku nyingi sana. Leo katika pita pita zangu nikamfuma maeneo flani ivi tukapiga story na mwisho alikubali nimgegede. Tukatoka hadi gesti...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Kifupi huwa sipendi kuzungumzia tetesi ama maisha ya watu directly. Lakini kwa hili, kwa leo naomba mnisamehe kwa haya nilitakayoyasema. Leo hapa mtaani kwetu majira ya jioni kumetokea timbwili...
0 Reactions
73 Replies
10K Views
Habari wana JF, Sehemu nyingi za mazoezi Dsm unakuta mwalimu wa mazoezi ni mwanaume then anamshikashika mwanafunzi wa kike (mke wa mtu) katika mchakato wa kufundishana kufanya mazoezi kitu...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
A. *Watu wane usiwanunie* 1. Baba yako 2. Mama yako 3. Dada yako 4. Kaka yako B. *Mambo mane jilinde nayo* 1. Majonzi 2. Huzuni 3. Uzembe 4. Ubakhili C. *Watu wane usiwapige vita* 1. Yatima 2...
7 Reactions
16 Replies
3K Views
I bet you know that I missed you already.... I don't know why but I can't stop thinking about you neither stop smile at your memories. I remember the day you came with a juice and water .... I...
3 Reactions
50 Replies
2K Views
Naamini kwa uwezo wa Mungu mko wazima. Napenda kuwashukuru sana kwa michango yenu ambayo huwa mnatoa humu mm ni mdau japo huwa siyo mchangiaji sana lakini siyo mara ya kwanza kuleta matatizo...
19 Reactions
328 Replies
82K Views
Hahaaaa!!hii inanikumbusha kamsemo kwamba kila 'nut' ina saiz yake ya 'bolt' ukiona haziendani ujue aidha 'nut' ni kubwa 'bolt' ndogo au kinyume chake!!
2 Reactions
2 Replies
1K Views
huyu binti kwao walikataa mahari.......binti akakaa kimya baada ya muda mrefu kupita huyu binti anaanza kunitafuta tena akidai amepotea niende nikampokee bus station alikua anakuja kwangu........
1 Reactions
11 Replies
1K Views
1. Penda sana kusalimiana nae kila siku walau mara 2 mpaka 3 2. Ukitoka likizo mpelekee vizawadi mfano : matunda, mkaa , karanga nk 3. Usiwe unampinga 4. Ukizaa mtoto mwite jina la bosi...
1 Reactions
40 Replies
9K Views
Kama una date binti wa umri wa kuanzia miaka 23 huna mpango wa kumuoa fanya jambo la kiungwana na kumuambia ukweli. Sikuambii umuambie kua humtaki na hutaki kuoa bali muambie kua wewe si muoaji...
12 Reactions
83 Replies
6K Views
Habarini ndugu, mimi ni mwanamke ambaye hivi karibuni mwanaume wangu anataka akajitambulishe kwetu pamoja na kunivisha pete. Sasa tatizo ni kwamba ananiambia anipe hela nikanunue mwenyewe na mimi...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Idumu jamii forum... kidumu kitongoji cha MMU : : HII NI STORI YA RAFIKI YANGU NIMEAMUA NIWASHIRIKISHE NIMPE USHAURI ULIO SAHIHI KWAKE,,, : kuna huyu mwanamke nimedumu nae kwenye mahusiano kwa...
4 Reactions
39 Replies
7K Views
Back
Top Bottom