Wadada badilikeni mtabaki kunaniliwa tu

Wadada badilikeni mtabaki kunaniliwa tu

Changes boy

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2017
Posts
552
Reaction score
363
Wadada wa sikuizi sijui wanavichwa gani!!
Nisameeni kama nimewauzi ila ni ya moyoni tu.
Unakuda mdada anajipendekeza kwako anatafuta namba ya mwanaume, unaipata unaanza kujipendekeza unashoboka mwenyewe unaweka mazingira nikutongoze alafu unaanza kusambaza habari za mwanaume huyo mala unajibaraguza sijui ni mkubali? mbele ya watu mpaka kwa yule uliyechukua namba.
Unajiona we we ndio wewe analinga mpaka yule aliyekupa namba ananipa taarifa. Alafu unanichunguza sana so ungeacha kuchukua namba yangu. Mara mi sio mkweli, addicted, sina hela sasa ulinishobokea kwanini usingechukua namba yangu hats Mimi nisingekutongiza wala kuongea na wewe wala kuangaika kuchukua namba yako maana na vitu vya msingi vyakufanya maana atua mbili nakutana na warembo wengi so napenda kuishi maisha yangu sio kuiga maisha ya wengine.
Atapata tabu sana na nimeshamblock, nimefuta namba yake, vijipicha vyake na WhatsApp nimebadilisha namba zote kwamba sitaki na simtaki, maana nilijilazimisha kumtokea tu ilinisionekane sifunction
 
Wanajivunjia uaminifu na heshima wao wenyewe. But the way wacha wafu wazikane🙂🙂
 
Wadada wanazingua sana Sik hiz nazani mitandao na movie zinawapotosha
 
Lazima unavaaga suruali zenye zipu magotini. Bisha…
 
Yajayo yanafurahisha kiukweli, calm down bro
 
Back
Top Bottom