Mapenzi yanaondoa Ufahamu

Mapenzi yanaondoa Ufahamu

doppla2

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
1,393
Reaction score
1,462
Ukiwa denti ukapenda skirt, kama si Leo ni semester ijayo lazima uangukie pua

Ukiwa baba wa familia ukaendekeza michepuko, familia lazima ikushinde na utazalauliwa hadi na watoto

Ukiwa Boss kazini ukaendekeza K Za Kila mfanyakazi mrembo hata awe mke wa mtu au mfanya usafi ofsini jua ofisi hiyo progress yake itakwama

Hata kwa mademu.... Ukikuta ni mrembo anataka kuishi kwa kutegemea kiuno na madoido ya kike.... Wengi wao akiri za maisha Hakuna.

Kama unabisha ni Yupi demu mwenye chura ya maana amewahi kuwa national icon

My take : kupenda papuchi huondoa Ufahamu.
 
umeninyuka ndipo kuna sehemu nimo na najuta
 
haaa wapo wengi joketi unamuonaje halaf rekebisha hapo juu denti anapenda skert ndio nn?
 
Unacheza na ubongo wa chini wewe? Nasikitika kuona mpaka sasa wanasayansi hawajagundua kuwa mwanadamu anao ubongo wa kidikteta kwenye kiuno chake!
Tena ubongo huo ukiwasha data yake lazima ubongo wa juu kichwani ufifie kwa muda hadi ubongo wa chini umalize kazi yake ndipo juu kichwani kunakuwa kuzima [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mtoto mdogo una penda churaaa x2 pruuu tekenya masela tekenyaa x2 mtoto mdogo una penda churaaax2 hii nyimbo usiku kucha watu wana cheza kigodolo Jana ijumaa hatuja lala
 
Unacheza na ubongo wa chini wewe? Nasikitika kuona mpaka sasa wanasayansi hawajagundua kuwa mwanadamu anao ubongo wa kidikteta kwenye kiuno chake!
Tena ubongo huo ukiwasha data yake lazima ubongo wa juu kichwani ufifie kwa muda hadi ubongo wa chini umalize kazi yake ndipo juu kichwani kunakuwa kuzima [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hii ni kweli kabisa
Mtu anajua ukitoa mzigo kuna uwezekano wa kupatwa na mimba magonjwa ila....
Unashangaa anapiga mzigo kavu akimaliza tu anaanza kujuta.....

Hii inaonyesha papuchi inaondoa Ufahamu
 
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
IMG_20180714_120128.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom