Kila kitu wanaume ,wadada mbona wao hamuwasemi?

Lupamba's grandson

JF-Expert Member
Jan 9, 2015
1,232
1,192
Habarini wana Jei Efu ,naamini ni wazima.
Salam za kwanza zimfikie @Faizafox akiwa ughaibuni .

Niende kwa mada Moja kwa moja, kjna ili swala la mahusiano mnakaa labda let say miaka 3 kwenye mahusiano au mpka 6 ,mwanaume akimuacha mwanamke ,watu watakulalamikia sana
" ooohh Wewe umempotezea muda dada wawatu ,bora ungemwambia mapema kuwa hutamuoa angeshaolewaga ona ulivyomuumiza karibu miaka 6 yote umempotezea dada wawatu hakika karma haitakuacha salama lazima ulaaniwe machozi ya mwanamke ni mabaya sana""


Sasa upande wa shilingi ,mmekaa miaka 6 au 12 sasa mwanamke aaamue kumuacha mwanaume hautasikia maneno ya kwamba

" oooh dada umempotezea kaka wawatu muda bora ungemwambia" hautasikia hayo maneno hata badala yake utasikia lawama

" we kaka mjinga umeshindwa kumtunza huyo mwanamke haya sasa kakukimbia kaenda kwa wenye kujua kutunza"

Wataenda mbali zaidi " ndugu unabahati mbaya wewe mwanmke mzuri kakupenda unaanza kuleta shobo badala ungevuta ndani harusi nini unaremba haya sasa wajanja wa mjini washakubebea"

Sasa hii kitu ni nini mbona wanaume tunanyanyasika ?? Kwani sisi ndio hamtupotezei muda????
 
tatizo wanawake mpaka aje akuache anatumia akili nyingi balaa wala huweka amini, anakuacha huku a akupenda na anaaminisha watu waamini hivyo

anakuacha kipindi anajua hujamchoka
 
Wanawake wenyewe waking wee mwanaume wakuoa ndani ya miaka miwili kashafunga ndoa. Miaka sita sii anakugegeda tuu kwa kuwa kakuona boya. Wee Wala usiwaonee huruma wanataka wenyewe...gegeda mwanawane
 
miaka sita yote naf.anya nini na huyo mwanaume aisee siwezi ..uhusiano sugu usiokua na mipango sitaki kabisa..bora kila mtu achukue 50 zake tu nijue moja..yaan darasa la kwanza mpka la sita mtu haeleweki.no way
 
Hamna kitu hapo, miaka sita mko shule au, maana km wote mnafanya kaz zenu mtakuwa mshapanga kuoana lini, ila km misukosuko kila siku miaka sita inakatika vizuri tu na inatokana na kila mmoja kutokuwa tayari kuwa na mwenzie, ila km mnakula bata miaka sita tu yote hiyo hamna plan mnakuwa mnacheza makirikiri na maisha ya ndoa, so kila upande unalaumiwa, kuna ishu inakuwa imejificha, mimi namjua mtu yupo na girlfriend miaka 9 wameoana mwaka jana, ni mipango tuu
 
Back
Top Bottom