Natafuta Boyfriend.

Obe

JF-Expert Member
Dec 31, 2007
9,231
2,000
Ukiacha hilo la kutafuta, ww una sifa zipi? Arusha kubwa, unapendelea awe wa pande zipi, jiji au halmashauri?
Nikutakie utafutaji mwema
 

Mirhea

JF-Expert Member
Feb 26, 2012
810
1,000
Ukiacha hilo la kutafuta, ww una sifa zipi? Arusha kubwa, unapendelea awe wa pande zipi, jiji au halmashauri?
Nikutakie utafutaji mwema
Mrembo na pia i blv ni independent to the fullest. Manispaa.
 

Dreamliner

JF-Expert Member
Jan 17, 2010
2,036
1,195
Mimi PESA iko, ila ninajihisi sio Handsome... Vigezo vingine nimezingatia... Niambie kabla pls.
 

53930

Member
Jan 20, 2011
65
95
Kama ni penzi unataka sema. ila pesa sina kabisa afu niko bomba handsome. Full Mvuto. Tuwasiliane
 
Thread starter Similar threads Forum Replies Date
L Natafuta boyfriend Love Connect 85
D Natafuta mchumba, nimechoka upweke Love Connect 59
Chwekamu Natafuta mke Love Connect 10
Sheffer95 Natafuta mchumba/ Rafiki wa kike Love Connect 10
mtamba b Natafuta mwanamke aliye tayari kwa serious relationship Love Connect 24
Similar threads

Top Bottom