kritika
JF-Expert Member
- Apr 18, 2018
- 410
- 1,158
Dada angu ananambia Bora upate mwanaume mwenye sura mbaya kuliko mwanaume Mjinga. Yani mwanaume mmoja mjinga ni sawa na wanawake 10 vichaa.
Na leo nimeamini kuna miwanaume ya dar imegongana na vigari vyao(vile vya watoto) hakuna alieumia wala magari hayajaumia impact ilikua ndogo cha ajabu badala yatoke yamshukuru Mungu yanaanza kukunjana mashati[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bora kutokuishi kuliko kuishi kama wanaume wa kileo..chaaaaa