basi unakuwa ulijisahauUnakumbuka kitumbua kikiwa na mchanga
Hapo pa pambana na hali yako, maumivu yake usipime
Wee mwanamke una bwanako.sijakuelewa kabisa yaani
Asante Vladimirovich PutinWee mwanamke una bwanako.
Ghafla ukajua bwanako anademu mwingine
Kumuuliza km nikwel akakublok...
Utafanyaje ??
hata mm nimetoka bashite bashite kabisasijakuelewa kabisa yaani
Asante kushukuru Sky !!
Inauma ndio utafanya nn na umeshaachwa kikubwa Mungu kaumba kusahau tu utakuja utamsahau
Mbona mie ulinisahau tu Mama Yeyoo, ukatupa jongoo na mti wake, au kwa vile uliniacha wewe?
Eenh sema kweli baba yeyoo