1. Ukikosa usingizi kama una fedha hakuna tatizo, unamwita tu daktari wako anakupatia vidonge vya usingizi unalala.
2. Ukiwa na fedha huna haja ya vitabu, unachofanya ni kuajiri hao wenye akili wakufanyie kazi.
3. Mwenye fedha hata kama hana uwezo wa kuzalisha hawezi kukosa familia, kuna njia nyingi sana za kisayansi, kiwizi na kimiujiza za kupata familia.
4. Fedha ni jawabu la afya yako na ukiona ugonjwa umeshindikana ujue ni mipango ya Mungu, kwa maana kila binadamu ataonja mauti.
5. Heshima kwa mwenye fedha haikwepeki usipomweshimu yeye utaheshimu fedha zake.
Msisitizo:- Fedha ni jawabu la mambo yote Mkuu.