Kiben10 ahofia kuwa shamba boy

Kiben10 ahofia kuwa shamba boy

kiben10

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2018
Posts
615
Reaction score
792
Assallam_aleykum ndugu zangu,

●kwa niaba ya mwanachama #77 wa chama cha kiben10 Dar (CKD)

Anaomba Usahuri wenu kwa hili jambo ambalo naona linakuja kuhappen soon, Mimi ninaishi na (JIMAMA) WAZEE WA SLOOP
Ila naomba niwasilishe mada sasa,

LEO USIKU SIJAPATA USINGIZI KABISA, hii imekuja baada ya huyu mama kuniambia niende mkoni Mbeya nikasimamie Shamba la Mpunga na baadhi ya mazao ambayo tumeyalima huko mkoani mbeya. Sasa napata mashaka coz week mbili sasa namuona hanichangamkii, hanipi (Kipozeo) sijui kwa nini sasa kutokana na hili jambo la kutaka NIHAMIE mkoani kwa muda usiojulikana,nanaona kama ndio mwisho wa kunifanya shamba boy na njia ya kupigwa chini ili mwingine achukua Fursa hii.

Sasa naomba nishaurini niende shamba or nigome?
 
Back
Top Bottom