Naombeni ushauri wapendwa

Naombeni ushauri wapendwa

wiseman734

Senior Member
Joined
Apr 29, 2018
Posts
137
Reaction score
210
Naombeni ushauri, nina miaka 31, nipo timamu na nimekamilika, mpaka sasa sijaoa na sijui nitakayemwoa, kila nikijaribu kuanza mahusiano haipiti miezi mitatu yaani namchukia na kumwona ana kasoro kibao mwenzi wangu, nachukia saana hii hali natamani initoke nisonge mbele, sijui Nifanyeje
 
Dawa jitahidi kadiri inavyowezekano usifanye nae ngono mpaka muoane
 
Hayo ni madhara ya kulia chakula jikoni kabla hakijaiva na kupakuliwa..... Tafuta umpendae, umuoe bila kufanya nae tendo la ndoa!
Tatzo sio sex, au tendo la ndoa, sitaki nioe afu nifurahie Mke kwa muda afu Badaye nimchukie
 
Ukishamuoa kisaikolojia utajua kwamba huwezi kumuacha mpaka kifo kiwatenganishe hivyo itakuwa ngumu kuuacha kirahisi. Mapungufu aliyonayo utaweza tu kuyavumilia tofauti na ilivyo sasa.
Noted
 
Wewe unatamani hujapenda,mapenzi yanachukua mda kukua na ukifanya mchezo yanakufa taratibu
 
Ukishamuoa kisaikolojia utajua kwamba huwezi kumuacha mpaka kifo kiwatenganishe hivyo itakuwa ngumu kuuacha kirahisi. Mapungufu aliyonayo utaweza tu kuyavumilia tofauti na ilivyo sasa.
Shida ni kwamba si kumwacha ni kuja kumnyanyasa bila sababu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom