Unatongoza mara ngapi kwa siku?

Kwani kuna idadi rasmi ya kutongoza kwa siku siku hazifanani kuna siku unaweza kutongoza watano na kuna siku unaweza usitongoze hata mmoja
 
KAMA HUNA HELAAA HATA YA KUHONGA CHIPS NA NAULI HUWEZI FANYA HUO UPUUZI...!!
Mtongozaji ni km mlevi tu,anaweza asiwe hata na mia mfukoni ila akienda bar analewa km kawaida,hpo ndo utakapojiuliza kuna tofauti gani kati ya Mandanda wa Ufaransa na Mandanda wa Nachingwea:D:D:D
 
Back
Top Bottom