sina ndugu jamani au mnaonaje?

sina ndugu jamani au mnaonaje?

Latifaa

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2012
Posts
501
Reaction score
259
kwenye familia yetu tumezaliwa 6 mimindio wa 6 watoto wotebaba yao ni mmoja kasoro mimi wa mwisho nilizaliwa baadae baada ya mama na baba0kuachana wote tumelelewa na mama tuu tokea utotoni tunaishi vizuri
nashangaa sasahivi wenzangu wanaplan yakujenga nyumbaya ushirikiano wao wa5 kasoro
mimi iwe na vyumba vi5 eti kilamtu chake wakiongeza cha 6 ni kwaalili ya mama basi, sio siri nimejisikia vibaya sana walivyonitenga wote niwatu wazima na tunamaisha yetu lakini kwanini mimi wamenibagua?
 
duh!! hawana aibu au unaowaita ndugu zako? undugu kufaaana sio kufanana
 
ni vyema umegundua hilo ukiwa na nguvu zako, sasa badala ya kuwa busy kusononeka, kuwa busy kuplan maisha yako.......... Kama hujajenga chakarika ujenge, kama hujaacha wosia ndo uache sasa, andalia wanao mazingira mazuri......kesho na keshokutwa ujue uko mwenyewe , tengeneza sana kesho yako.............. Huna ndugu hapo
 
kwa nini usiwaelezee unavyojisikia?mara nyingi ndugu wa mama mmoja huwa na ushirikiano,na ukiangalia wote mlelelewa pamoja na mama.hata ingekuwa mimi ningeumia.kama una uwezo wako,na wewe jenga nyumba yako mwenyewe.you never know pengine unajiepusha na mengi
 
ni vyema umegundua hilo ukiwa na nguvu zako, sasa badala ya kuwa busy kusononeka, kuwa busy kuplan maisha yako.......... Kama hujajenga chakarika ujenge, kama hujaacha wosia ndo uache sasa, andalia wanao mazingira mazuri......kesho na keshokutwa ujue uko mwenyewe , tengeneza sana kesho yako.............. Huna ndugu hapo
Inauma sana aisee!! Dah!:A S angry::A S angry:
 
kwenye familia yetu tumezaliwa 6 mimindio wa 6 watoto wotebaba yao ni mmoja kasoro mimi wa mwisho nilizaliwa baadae baada ya mama na baba0kuachana wote tumelelewa na mama tuu tokea utotoni tunaishi vizuri
nashangaa sasahivi wenzangu wanaplan yakujenga nyumbaya ushirikiano wao wa5 kasoro
mimi iwe na vyumba vi5 eti kilamtu chake wakiongeza cha 6 ni kwaalili ya mama basi, sio siri nimejisikia vibaya sana walivyonitenga wote niwatu wazima na tunamaisha yetu lakini kwanini mimi wamenibagua?

Pole sana mamito. Ndugu zako ni wale ulio nao karibu, wanaokusikiliza, wanaocheka na wewe, wanaosaidiana na wewe, unaoheshimiana nao........ si lazima uwe umezaliwa nao tumbo moja.

Kwakweli najua unavyoumia. Nimekufariji lakini hata ingenitokea mimi sijui kama ningeweza kuvumilia. Ningewauliza kwanini wananitenga ili wakinijibu mbovu ndio uwe mwisho wa mimi na wao. Ama zao ama zangu!!:majani7::majani7:
 
Shukuru Mungu wamekuonyesha wao ni nani. Achana nao upange yako kivyako kwani wao ni hewa au maji? Kama wameamua kukuonyesha wamekusaidia ingawa inauma. Hivyo ningeshauri ujifanye kama huoni tatizo lolote. Mbele ya safari Mungu atawaumbua amini nakwambia.

Hapo nawe kaza ili upate hela uwanyolishie maujanja yako, lasivyo utahama huo mji!
 
duh pole sana....mama mzazi anaonheleane hilo?
mama nazani anaona sawa mama yeye ndio ameniambia
wamekaa wameona wajenge nyumba yapamoja hata yeye atachangia sizani5 kama ameona kuna tatizo kwangu
 
Shukuru Mungu wamekuonyesha wao ni nani. Achana nao upange yako kivyako kwani wao ni hewa au maji? Kama wameamua kukuonyesha wamekusaidia ingawa inauma. Hivyo ningeshauri ujifanye kama huoni tatizo lolote. Mbele ya safari Mungu atawaumbua amini nakwambia.
kweli inabidi nijipange sana tena kwa machungu
 
Pole sana mamito. Ndugu zako ni wale ulio nao karibu, wanaokusikiliza, wanaocheka na wewe, wanaosaidiana na wewe, unaoheshimiana nao........ si lazima uwe umezaliwa nao tumbo moja.

Kwakweli najua unavyoumia. Nimekufariji lakini hata ingenitokea mimi sijui kama ningeweza kuvumilia. Ningewauliza kwanini wananitenga ili wakinijibu mbovu ndio uwe mwisho wa mimi na wao. Ama zao ama zangu!!:majani7::majani7:
naogopahata kuwauliza maana watanijibu mbovu nazani halafu nita0 umia zaidi nimeamua0 kujifanya
mjinga tuu ndio maana nimekimbilia huku kuomba ushauri.
 
ni vyema umegundua hilo ukiwa na nguvu zako, sasa badala ya kuwa busy kusononeka, kuwa busy kuplan maisha yako.......... Kama hujajenga chakarika ujenge, kama hujaacha wosia ndo uache sasa, andalia wanao mazingira mazuri......kesho na keshokutwa ujue uko mwenyewe , tengeneza sana kesho yako.............. Huna ndugu hapo
nashukuru sana inanibidi nifanye hivyo kwakweli
 
Pole sana ndiyo dunia ilivyo, ndugu wengine ni ndugu jina tu.
 
Unajua siri kubwa ya kufanikiwa ni kujipa motisha kwenye issue mbaya. Yaani sasa ndo uwaonyeshe. Tena nunua kiwanja ( wasije wakasema umejenga kiwanja alichonunua baba yao na sio baba yako). Jenga kiself cha maana, kama unaweza weka bedroom mbili na sebule na jiko, ili mamako akija nae alale. Tafuta karibu na mama mahali pa kuitwa home, ama karibu nao ili mkikutanika wewe ulale kwako. Japo wasikuharibie mipango yako. Namaanisha jipange kivyako vyako na usiwakasirikie wala kuwanunia. Ila kwa ndugu wa hivyonujue mirathi ni muhimu tu manake lazma wawadhulumu wanao. Kwa dsm huwezi amini kuandika mirathi ni tshs 100,000/= tuuu, na gharama ya kuitunza RITA ni kama tshs 20,000 kwa mwaka!
 
nashukuru sana king'ast kwa mawazo mazuri umenifungua akili hata nikgwa sipo hawa ndugu watawadhulumu
watoto wangu
 
my dear chakarika upate vyako....

Na wosia ni muhimu wanao watadhulumiwa hapo.....

Pia usijimix nao sana, huo muda saka pesa ujenge maisha..........

Ndugu wa namna hiyo hata kwetu wapo (ingawa si tumbo moja) hesabu una magarasa, gangamala usimame mwenyewe
 
Usemayo Ni Ukweli Mtupu!
 
dah! it is very touching aisee.

hapa naona naona ile point ya Nyani Ngabu kwamba blended families zina matatizo sana.

kwangu mimi ningekushauri jambo la muhimu kabisa kwanza samehe, kisha dharau yanayoendelea. kisha chukua hatua za busara kwako. tafuta kiwanja jenga nyumba yako taratibu pasi kumshirikisha mtu yyte yule. pia hakikisha ili kukwepa migogoro ya mara kwa mara hao ndugu zako usiwashirikishe kwenye mambo yako ya maendeleo like kama unajenga iwe ni wewe die unayejua tu.

istoshe sikushauri uish karibu nao la hasha, kama wanakaa tabata basi wewe kajenge makabe iwe ni safari mtu kuja kwako hii itapunguza sana muda wa ku -collide nao. wewe unapofanya haya yote usiwe na hasira wala usiweke kinyongo na jambo zuri ni kwamba kwakua unahofia kuwauliza basi let it go kutoka kwenye moyo wako.
 
Last edited by a moderator:
inavyoonesha hapo na wewe ni mtu mzima chamsingi wewe jenga nyumba ya kwako mwenyewe...nyumba za ushirikiano au familia huwa zina migogoro ogopa sana hujawahi sikia sijui nani kauza nyumba bila kushirikisha wenzake mwisho wa siku wanatolewa mavyombo nje...?ushauri jenga ya kwako mwenyewe jipange na life lako..mambo yatakua fresh tu..kwani ni sh.ngapi bhana..? alaaaaah...halafu kwa ushauri tu tafuta muvi hii ya eddie murphy iatkusaidia sana inaitwa A thousand words inahusiana na kusamehe...watu walio kuumiza..ova
 
Back
Top Bottom