Naombeni mbinu za kumhonga huyu dada

Naombeni mbinu za kumhonga huyu dada

CUBICBOY

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2012
Posts
322
Reaction score
258
Habarini wakuu, kuna dada mmoja ni jirani yangu nimetokea kumpenda sana nimejaribu kuzungumza nae kuhusu hisia zangu kwake imeshindikana nitumie mbinu gan nimhonge ili anikubalie naombeni ushauri tafadhali
 
mtumie 100k kwa mpesa or tgo pesa

kaa kimya ujifanye hujafanya kitu, atakutafuta akuulize ya nn then utajiongeza umemzawadia

kirahisi hivyo ukikumbushia na hitaji lako baasi hawezi kukataa, labda arudishe pesa
 
Haya shukrani mkuu ngoja nijaribu ila mbona hela kubwa Hiyo akikataa
 
Habarini wakuu, kuna dada mmoja ni jirani yangu nimetokea kumpenda sana nimejaribu kuzungumza nae kuhusu hisia zangu kwake imeshindikana nitumie mbinu gan nimhonge ili anikubalie naombeni ushauri tafadhali
Nipe hela, kidani cha dhahabu na mkufu wa dhahabu nimpelekee
 
Mkuu,

Ukiona hufanikiwi, mtafute mshana jr paaaap atamaliza hili tatizo.
 
Habarini wakuu, kuna dada mmoja ni jirani yangu nimetokea kumpenda sana nimejaribu kuzungumza nae kuhusu hisia zangu kwake imeshindikana nitumie mbinu gan nimhonge ili anikubalie naombeni ushauri tafadhali
Acha ujinga. Ukitanguliza pesa ndio atatumia hiyo kukupendea. Ukifulia unaachika . Acha kujitafutia matatizo. Mwanamke kama hataki hataki tuu.. mpotezee endelea na mbishe zako.
 
Habarini wakuu, kuna dada mmoja ni jirani yangu nimetokea kumpenda sana nimejaribu kuzungumza nae kuhusu hisia zangu kwake imeshindikana nitumie mbinu gan nimhonge ili anikubalie naombeni ushauri tafadhali
Mtumie laki 7 kwa tigopesa alafu zima simu siku nzima.
 
Endelea tu kuzungumza nae usikate tamaa huenda akawa anakutafakari.
 
Back
Top Bottom