moto wa maji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 4,174
- 3,007
kipindi cha nyuma nilikua kwenye mahusiano ambayo yalikua motomoto sana ila yalikuja kugeuka na kua machungu sana ,maana yalikuja sababisha tukaachana tena aliniacha kwa kisa kikali.
saizi naona ananitafuta tafuta mno.
siwezi kuwa na wewe ata kiporo siwezi kupasha maana inawezekana ndio umekuja kunimaliza kabisa
Wakuu angalieni sana watu mlioachana nao kwenye mahusiano halafu anataka mrudiane.