Bunchari
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 705
- 905
Habari wakuu
Natumaini mko poa, ningependa tushirikishane jambo/hali ambayo imekua kikwazo kwang kwa muda mrefu, kama kijana suala la mahusiano ya kimapenzi alikwepeki nimekua kila nikitongoza sipati matokeo mazuri,huenda inatokana na historia ngumu ya kimaisha niliopitia hapo awali ambapo bado imeendelea kuniathiri japo si kwa sana,uwa nabaki kuumia moyo na kujutia mapito nayoyapitia ukizingatia wakinadada wanapenda mazingira mazuri.
Imepelekea kuamua kubaki peke yangu,maisha yanasonga hata kile kidogo nachoombwa na mpenzi kukitoa inakua ngumu,uwa nafikiria watu wa kwetu ni heri ata hiki nachotaka kukitoa niwatumie wao.
Sijajua kama hali hii ninayo pekeang.