Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Asaalaam alaykum naitwa Nasry natokea morogoro mjin natafuta mchumba ambaye in sha Allah atakuja kuwa mke awe muislamu anaejua dini japo kwa uchache sichagui rangi wala kabila..shukran
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Hivi ni vituko sana kwani hao wauza bidhaa hawatajua mshahara umeongezeka hawana ndugu wafanyakaz
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari marafiki! Salaam toka A Town. Miezi takribani nane iliyopita nilikutana na rafiki toka US. Rafiki huyu, kama walivyo Waamerika wengi ni easy to live with. Yupo open-minded na anampenda...
3 Reactions
65 Replies
8K Views
Sifa ya mwanaume ni ukakamavu, mwanaume lazima uwe na mwili mgumu, lazima hata mwilini mwako uwe na makovu kiasi ili uonekane wewe ni wakiume Sasa kuna wakaka looh, hadi aibu, unamkuta mwili...
4 Reactions
75 Replies
7K Views
Habarini wadau! Natumai mu wazima wa afya. Hakika sijabahatika kuwa na furaha katika hizi anga za mapenzi, kila napogusa naishia kutokuwa na furaha katika mapenzi. Kila niliyekuwa naye tunaishia...
0 Reactions
2 Replies
908 Views
Wapendwa, Natafuta mwanamke wa kuanzisha naye mahusiano. Lengo ni urafiki ambao natamani uende hadi katika ndoa. Hata hivyo kama hautafikia ndoa basi nitaelewa tu. Lakini mimi niko tayari kuoa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu, Naishi Dar es salaam, natafuta rafiki wa kike ambaye baadae anaweza kuwa mke wangu. WASIFU WANGU -Nina umri wa miaka 29. -Nina shahada ya uongozi wa Mauzo na Masoko kutoka C.B.E...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Asikwambie mtu .kupenda visichana vidogo nikama kula nyama mbichi ukianza uwezi kuacha. Kuna project ya single mother tulikuwa tuna fanya mwananyamala kisiwani na mchangani. Basi bhana nyumba ya...
3 Reactions
83 Replies
12K Views
Wakuu salama Mwezi wa 4 nlileta Uzi huu[emoji116] [emoji116] Msaada: Huyu Binti kaniambia ana HIV Sasa miezi mitatu ishafika na inakaribia minne na zile dalili za awali sijaziona hata moja...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
❤ _ Coffee.Code.Sleep.Repeat _ 712
5 Reactions
9 Replies
1K Views
habari za leo wakuu kama kichwa kinavyojieleza hapo juu ni kwamba mwizi anapigika hapa maeneo ya k/koo mtaa wa kongo sijajua ameiba nini kiukweli raia wana hasira sana wanaweza hata kumuua jamaa...
1 Reactions
49 Replies
5K Views
Farida alikutana kimwili na Michael wakati ana ujauzito wa miezi miwili. Akamtafuta Michael warudie game Michael akamwambia hayupo amesharudi kazini. Farida akamwambia Michael ana ujauzito na yeye...
14 Reactions
146 Replies
11K Views
Nawasalimu sana wana MMU! Nakiri kuwa mimi sio msimuliaji mzuri so msinihukumu jamani! Nakuja na hiki kisa cha majirani zangu wa 4 waliofiwa na waume zao na case zao zinafanana kabisa.nitasema...
9 Reactions
46 Replies
7K Views
Siku moja nikiwa nimekolea ktk action iliyokuwa inaendelea ya makala kuhusu Tai Chi mlio wa msg ukasikika ktk simu yangu. Nikaichukua na kufungua, kucheki ujumbe ukasomeka; Helo mambo umeshapata...
4 Reactions
82 Replies
7K Views
Enzi zile ukiletewa barua ya posa hata huulizi mchumba anafanya kazi gani, mradi anatoka Dari Salama. Unawaza kuepukana na kuchota maji pamoja na kutafuta kuni. Unawaza utakaporudi likizo wakina...
5 Reactions
7 Replies
1K Views
Hii na mahsusi kwa wale mama watoto na nyumba zao, tupate uzoefu wa maumivu yapi yanachoma kumoyo pale unapogundua mumeo huwa "anapumzika" mahali?
1 Reactions
62 Replies
9K Views
ZA mda huu mwana GT. Niende kwenye Mada.. ukweli ndoa za siku hizi ni tofauti kabisa na za zamani. Kwa sababu zamani waoanaji walikuwa wanakutana wakiwa bado hawajui chochote na wengi Wao ndio...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Hapo vip!! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza Siku hizi mimi mwanamke naona sio priority kwangu, kiasi kwamba inaweza kupita hata miezi mitatu sina habari,naweza kukutana na wasichana ambao...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
Za leo naombeni kujua jambo ukitaka kujua huyu mwanaume anakupenda na huyu anakudanganya utajuaje naombeni ushauri. walionaexperience waniambie wasio serious msireply kwani nataka kujua . namimi...
1 Reactions
43 Replies
3K Views
Back
Top Bottom