capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
❤ _ Coffee.Code.Sleep.Repeat _ 712
Shangazi alifanya makeke gani kukuepusha na mkwara wa kifo??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], [emoji123][emoji123][emoji123]SHANGAZIDah! Ilkua vurugu mtaa mzima ... yule bibi alkimbia kijiji usiku huohuo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], [emoji123][emoji123][emoji123]SHANGAZI
Huwa nawakubari sana mashangazi. Kwanza nimafriend sana hawanaga ngwengwe.
Asante Shangazi, nmefurahi kukuona hapa. Hope watoto wanakufurahia.Mimi pia ni shangazi wa pekee wa watoto wa kaka zangu