Enzi zetu kule kijijini tuliona mjini ni kama peponi

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
Enzi zile ukiletewa barua ya posa hata huulizi mchumba anafanya kazi gani, mradi anatoka Dari Salama. Unawaza kuepukana na kuchota maji pamoja na kutafuta kuni.

Unawaza utakaporudi likizo wakina Mboni na Mainda watakavyo kukoma. Jinsi utakavyopendeza ndani ya white dress. Mboza alikuwa house girl mjini alirudi na angel face nimuombe niipake siku ya harusi.

Siku hizi vijijini kuna solar power, majiko ya gas, watu huhifadhi maji ya mvua na kuwekeza floride. Ukiuza Masson unapata pesa na unaweza kwenda Mlimani City shopping.
 
Enzi zile ukiletewa barua ya posa hata huulizi mchumba anafanya kazi gani, mradi anatoka Dari Salama. Unawaza kuepukana na kuchota maji pamoja na kutafuta kuni.

Unawaza utakaporudi likizo wakina Mboni na Mainda watakavyo kukoma. Jinsi utakavyopendeza ndani ya white dress. Mboza alikuwa house girl mjini alirudi na angel face nimuombe niipake siku ya harusi.
Umri unaonekana umekutupa mkono ,mkuu
 
hao ndo wadada wa Bush sie mjini tulikua tunawaza lile shela jeupe pamoja na zile pete za ndoa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom