Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Nina mpenzi ambae ananipenda sana nami pia nampenda kwani ananijari sana, ila amenizidi miaka 5 na tupo dini tofauti yeye ni mkristo na wazazi wake wameishika sana dini, mimi ni muislam vile vile...
4 Reactions
95 Replies
12K Views
Wanajamvu MMU nimerudi tena kijana mwenzenu naombeni ushauri kuna msichana nampenda sana na tumedumu kwa muda mrefu japo si sana mimi namuamini sana na kwa mujibu wake pia ana niamini...
2 Reactions
157 Replies
16K Views
Wanaume wenzangu,hili swala nguvu za kiume ,Mimi nahisi halipo , MAMBO YANAYOCHANGIA MWANAMME KUPIGA 1NA KUONEKANA KACHOKA ¹Mawasiliano yake mke Unakuta Mme upo kazini unampigia Sim hapokei Mara...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Hello my felloe JF Members, Mimi ni mwanaume mwenye miaka 35,elimu ya shahada ya kwanza,na mwajiriwa,Career-wise iam doing ok, but i think it's about time to meet with my future wife I would...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Bwana katika maisha kuna changamoto hasa katika sekta hii ya mahusiano Kuna kisa kimewahi kunitokea miaka mitatu iliyopita nikikumbuka huwa nacheka sana na kusikitika Miaka mitatu iliyopita mke...
6 Reactions
39 Replies
6K Views
Faida Za Msamaha Katika Maisha Yako Maisha ya mwanadamu siku hizi ni maisha yaliyojaa chuki na visasi Tukiishi katika maisha ya chuki na kulipizana visasi bila kusameheana basi tutazidi...
13 Reactions
117 Replies
11K Views
Goodmorning. Leo napenda niongee na dada,mama, wote mlio humu JamiiForum.K una kitu nyie hua mnasema kua Fiftyfifty (50/50) yani nyie wanawake na wanaume ni sawa na mnawekeza nguvu zenu nyingii...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Za mda huu jamani hapa, Hili naweza sema ni tatizo kwa njia moja au nyingine.. Nimejikuta nakuwa nikikutana na baadhi ya watu sio wote ninaokutana nao, huwa nashidwa kabisa kumaliza. Sasa...
4 Reactions
88 Replies
10K Views
Mrembo ajulikanaye kwa jina la Rebecca Barker kutoka nchini Uingereza amejikuta akirejesha furaha katika maisha yake baada ya kuishi maisha ya tabu kwa miaka sita mfululizo, ambapo katika kipindi...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Inashangaza sana kukuta dume zima linafanya mambo yafuatayo, Ukiwa miongoni mwa mambo haya basi jua una element za ushogaaa zinakukaribia 1:Mwanaume kusonya, huwa nashangaa sana nikimuona...
78 Reactions
348 Replies
56K Views
Habar zenu waku kwa mara yingine naomba ushaur wenu sbb nawakubal watu wa JF pongez kwa hilo,,, kiufup ni kwamba mimi ni kijana mwenye 30 na nimeoa nina mke na mtoto 1,, wa mwaka,, jambo ni hivi...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Jamani, Mwenzenu nilisafiri jana kikazi mbali kiasi cha kutosha na kwangu. Mchana wa leo wife kaniandikia msg anasema kuna mtu ananitafuta, nikamwambia si umwambie sipo nitarudi keshokutwa...
1 Reactions
75 Replies
8K Views
Kabla hatujaenda deep, Ninaamini juu ya the power of knowledge(maarifa) yanavyoweza kumbadilisha mtu na kuwa wa tofauti kabisa. Ivi tunajua na kuamini mada na michango ya watu Jamii forum ina...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Asilimia kubwa ya mademu wenye mwanya ni watamu sana kwenye show na ni Waongo mnoo katika mahusiano Kaa nao mguu pande usiseme sijakuonya
2 Reactions
33 Replies
8K Views
Habari za wakati Huu wakuu. Naomba ushauri wenu kuna jambo nataka leo nikirudi home niliweke sawa ila inahitajika busara na hekima zaidi kuliko mabavu. Kuna kibanda najenga huko maeneo ya...
8 Reactions
122 Replies
11K Views
kuna demu mmoja ambaye tumefahamiana kwa muda sasa na tangu mwanzoni alikuwa anajua kuwa mie namtamani....nikamueleza na yeye aksema kuwa asante kwa ukweli wako lakini sipo tayari kuwa frend with...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wana bodi! Poleni na mihangaiko yenu ya maisha mimi nina 30yrs nimeajiriwa. Natafuta mke mwenye nidhamu na mwenye hofu ya mungu pia awe 20yrs mpaka 28yrs pia asiwe bonge sana kikubwa...
0 Reactions
2 Replies
970 Views
Nimekua nikiona watu mbalimbali wakilalamika kwamba wanayimwa unyumba na wake zao, sasa huwa najiuliza mwanamke anaanzaje kukunyima unyumba kama hayupo kwenye menstruation cycle. Binafsi hata...
8 Reactions
55 Replies
10K Views
Eeeh, nirudi nifanye nini kama kazi huwezi. Hata kama nimeshakula hela. Yako kiasi gani siwezi rudi na siwez endelea kutumia hela yako cz huitendei haki naona ntakuwa kama mwizi tu, wanawake...
11 Reactions
245 Replies
17K Views
Back
Top Bottom