Kwanini vijana wengi wa siku hizi wanasema kuwa,mapenzi yalikuwa zamani ila kwa sasa ni wizi na udanganifu mwingi?
Ni kweli mapenzi yalikuwa zamani,zile zama zetu sisi ila kwa vijana wa sasa...
Habari za muda huu wapendwa bila shaka Mungu amewaamsha salama!!!!
Wanaume wenzangu wengi wamekuwa na mitazamo isiyofaa baada ya kuoa hali inayozua mgogoro wa chini kwa chini uso kuwa rasmi na...
Mwanaume anaweza akawa anamfukuzia mwanamke kabla hajampata,ataonyesha anakupenda sana,atakuwa anaongea na hisia kali sana
Kabla hujamkubalia kila baada ya lisaa anakupigia sim,SMS kila...
Habarini ndugu zangu mimi ni kijana wa miaka 25 nimemaliza elimu yangu ya chuo kikuu na nina ajira kwenye kampuni
nipo kwenye mpango wa kuoa lakini napata shida ya mwanamke yupi kati ya hawa...
Hapo za mani za kale Prisca alikutana na Kwesi raia wa Ghana lakini wazazi wake walikuja Tanzania kama waajiriwa wa UN. Kweli ni kijana smart mno. Alipata shahada ya kwanza ya uzamili katika...
Habarini wadau wa JF
Basi pasipo kupoteza muda. Wadau wenzangu hususani wanaume huwa mnatokaje mkiulizwa swali hili
Umepataje namba yangu?
NB: Hilo swali umeulizwa na mdada mrembo...
Amani iwe nanyi wapendwa katika bwana
Husika na kichwa cha habari hapo juu,
Mimi ni mpangaji nimepanga nyumba moja hapa mjini na nina kama miezi sita kwenye hii nyumba niliyopanga ambayo...
Huyu mpenzi wangu wa kike miaka 28 sijui huwa ana tatizo gani....nikiwa naye faragha yaani dakika moja haiishi
Nikianza kumuandaa kama dakika 6 huhitaji nimpande....nikisha mpanda dakika 2...
Kama mada inavyojieleza
Kuna wakati zilienea taarifa za mwalimu kwa jina Ayubu wa St Florence P school DSM za kuwala wanafunzi wake wa std 7
Wazazi walihamaki na kujaa upepo mbaya hasa wamama...
Kuna hii tabia ya michepuko kuleta mbwembwe nyingi chumbani pindi tu anapojua kwamba kuna mwenzake ambae alimtangulia na still yupo active.Unaweza ukamtafutia sehemu ya kukaa ukafungulia na...
Nazikumbuka zile chupa za konyagi .ata sijui tuliziangusha ngapi Ila nacho kumbuka Yule jamaa akushusha mikono. Nilikuwa chakali bwiiiii
Ila nilikuwa makini mana watoto wa mabibo ukiwa maji...
Salama wapendwa?
Naombeni ushauri nifanye nn huyu mdogo wangu ni mtoto wa mama mdogo ameolewa na ana mme ila amekuwa akinikera sana na tabia ya kuniibia nguo zangu za ndani kama chupi na taiti...
Habari zenu wana bodi!
Poleni na mihangaiko yenu ya maisha mimi nina 30yrs nimeajiriwa. Natafuta mke mwenye nidhamu na mwenye hofu ya mungu pia awe 20yrs mpaka 28yrs pia asiwe bonge sana kikubwa...
Ni Miaka mingi kidogo, nawasimulia watakaokuwa wanapitia kadhia ya kutopata watoto katika ndoa, mimi pia yalinikuta, pengine mtajifunza kitu. Kila jambo lina mwisho wake, hakuna jambo lisilo na...
*_TUOMBE KWA AJILI YA WANAUME._*
1. Atapiga offer za kutosha bar lakini nyumbani harudi hata na Fanta ya kopo
We Mungu wetu waondolee wanaume sifa za kijinga.
2. Ana pair moja ya soksi akivua...
Salaam wana MMU.
Nimepatwa na masaibu usiku wa kuamkia leo. Naishi na mke wangu tangu 2008. Tuna mtoto mmoja na hivi sasa mke wangu ni mjamzito.
Tatizo lipo hivi;mimi na mke wangu ni...
Aisee mtihani ni pale unaponunua kiatu kwa bei kubwa bila kujua ni size gani!ukiowa bila kutest mitambo utajikuta umechukua over size na Kuichukia ndoa yako!Ni kweli mwenyezi Mungu ametukataza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.