MSAADA: Miezi mitatu imefika lakini sijaona dalili hata moja

MSAADA: Miezi mitatu imefika lakini sijaona dalili hata moja

Mzee Mchochezi

Senior Member
Joined
Apr 3, 2018
Posts
125
Reaction score
244
Wakuu salama

Mwezi wa 4 nlileta Uzi huu[emoji116] [emoji116]
Msaada: Huyu Binti kaniambia ana HIV

Sasa miezi mitatu ishafika na inakaribia minne na zile dalili za awali sijaziona hata moja

Sina uhakika kama kweli huyu binti alizaliwa na HIV au la

Kupima nako najiskia uvivu hata sijui nifanyaje jamanii

Ebu nipeni matumaini yoyote Yale kabla sijaenda Angaza.
 
Mkuu ngoma inaweza kaa mwilini miaka 10 bila kuonesha dalili
 
Haujaathirika mkuu.Kapime uishi kwa amani.
 
Tambua tu kuwa, kutembea na muathirika haimaanishi kuwa na wewe utaathirika...
 
Dah.. umenikumbusha yule askal nlyepga peku kisha akaniacha.. Nakumbuka ilkuwa mwez wa5. Ukfka wa9 sjaugua basi mm ni mzma.. Na hiki ndio huwa kipmo chang
 
Tambua tu kuwa, kutembea na muathirika haimaanishi kuwa na wewe utaathirika...
 
Pole sana
Issue ni simple sana
Usisubiri hadi uone dalili ndo upime
Pima na kama uko -ve mshukuru muumba wako na jiepushe na zinaa

Kama uko +ve basi mrudie muumba wako na fanya ibada sana hasa kama ni muislam Allah huwa anasamehe kwa kila amtakaye

Kisha kama umeathirika na hujaoa tafuta mwenzio aliyeathirika kisha uanze maisha kwa kipindi hicho kilichobakia

Nasisitiza tena
Fanya ibada swali na muombe Allah msamaha huenda akakusamehe na ikawa ndo salama yako siku unaingia katika nyumba ya giza na siku utakaposimamishwa katika Mahkama ya Allah

Ni hayo tu
Tumshe Allah Subhanahu wa taala
Tukatazike pia na maovu kama uzinifu riba n.k
.
 
Kumbe allah anasamehe muslims tu!
 
Mkuu
Kwani unazijua dalili kweli

Maana usije sema
Kukonda
Kutapika

Hizo sio dalili za awali

So uende ukapime
 
Nicho nilichokiandika mkuu ?
Nilimpa muongozo kuwa kama ni muislam afanye vile.....

Kwa wakristo sijajua maana mimi si mkristo
Mkuu, me najua kila mtu kipo anachokiamini. Kama ni mungu au miungu au vinginevyo vyovyote... so issue ya kumrudia mungu/miungu hiyo ni kama muhim kwa kila mtu.
 
A
Kwani kanisani kuna Allah? Huyu kasema kama ni muislamu afanye ibada sana atasamehewa dhambi zake, na kasema hivyo kwa ule upande anaoujua, hawezi kuusemea asipopajua
Allah ni lugha tu mkuu ndio maana wengine huita mungu, wengine Yakhwee, wengine humuita Jah...
Sijui kama nimekosea kuandika hizo majina.
 
Back
Top Bottom