Naombeni ushauri wa kujua kama ananipenda kweli

katoto kazuri

JF-Expert Member
Feb 10, 2018
6,083
5,659
Za leo naombeni kujua jambo
ukitaka kujua huyu mwanaume anakupenda na huyu anakudanganya utajuaje naombeni ushauri.
walionaexperience waniambie wasio serious msireply kwani nataka kujua .
namimi nipo serious.
Karibuni kwa mawazo yatakayonijenga sio kunikera.
 
una umri gani kwanza?
kabla hatujaanza kushusha nondo zetu,tusimwagike hapa kumbe tunaongea na vitoto vya sekondari,maana social media hazina adabu kabisa!
 
  • Awe na hofu ya Mungu.
  • Usikubali kulala naye hadi ndoa.Msimamo wake ktk hili utakupa mwangaza ...
  • Awe huru ukitaka kuiangalia simu yake wakati wowote.

Ila wewe ndiye unamjua, haya mambo hayana kanuni.
 
Hapo nimekuelewa
 
Za leo naombeni kujua jambo
ukitaka kujua huyu mwanaume anakupenda na huyu anakudanganya utajuaje naombeni ushauri.
walionaexperience waniambie wasio serious msireply kwani nataka kujua .
namimi nipo serious.
Karibuni kwa mawazo yatakayonijenga sio kunikera.
Filisika au jifanye huna pesa na hakikisha anajua. Halaf utaona mabadiliko flan hapo sasa ndio uchukue hatua.
 
Back
Top Bottom