Mwizi anapigika Kariakoo muda huu

Mwizi anapigika Kariakoo muda huu

fundi bishoo

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2018
Posts
14,498
Reaction score
27,813
habari za leo wakuu kama kichwa kinavyojieleza hapo juu ni kwamba mwizi anapigika hapa maeneo ya k/koo mtaa wa kongo sijajua ameiba nini kiukweli raia wana hasira sana
wanaweza hata kumuua jamaa
[HASHTAG]#yungtEmPeR[/HASHTAG]
 
Shetan kampitia maana asbuh kapita huku kwetu tmk sema hajapata wa kumpitia
 
habari za leo wakuu kama kichwa kinavyojieleza hapo juu ni kwamba mwizi anapigika hapa maeneo ya k/koo mtaa wa kongo sijajua ameiba nini kiukweli raia wana hasira sana
wanaweza hata kumuua jamaa
[HASHTAG]#yungtEmPeR[/HASHTAG]
hii mada inahusiana vp na MMU
 
Back
Top Bottom