Castle_Lite
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 4,755
- 10,786
H
Na wewe unawaogopa? Kama hauwaogopi njoo hapa Bulyaga bar fastaaHii ilikuwepo zamani,ila sasa watu wanaogopa wasiojulikana.
Ila ngoja waje
Na wewe unawaogopa? Kama hauwaogopi njoo hapa Bulyaga bar fastaa
Mungu ni mwema. Kwako je?Naitisha bodaboda fasta nakuja
Habari ya uzima?
Mungu ni mwema. Kwako je?
kuna tukio lilitokea? lilikuwaje? ni idea mbaya?, tukio lililotokea haliwez zuilika? lilikuwa na kibali? lilikuwa na dhumuni gani?Hii ilikuwepo zamani,ila sasa watu wanaogopa wasiojulikana.
Ila ngoja waje
Nafuarahi kusikia hivyoHuku kwema kabisa,tunashukuru
Hapana, kwani mikusanyiko ya furaha nayo imekatazwa? nadhan inahutaj kibali maalum tuMtoa mada, ww ni usalama wa taifa?