kwan mkuu we ujawahi kukutana na hali kama hii
Mkuu usi-overthink things, just do it. Usisubiri sijui the perfect time, hizo ni delaying tactics. We siku ukimuona count mpaka 5 secs, zikiisha tu we mfuate hakuna kubadilisha mawazo wala kugeuka nyuma. Just do it! Kama utamuomba date au kuchukua namba, it's up to you. Just be respectful.
Mimi a few years back kuna msichana nilikuwa namuona in my neighbourhood, she was way too pretty.Jina nilikuwa hata simjui, ila nilikuwa nimemuelewa kweli. Shida ilikuwa kumu-approach tu. Kila nikimuona naishia kumpa hi ya juu juu tu. Halafu najiambia next time I'll ask for her number. Lakini wapi.
Baada ya hiyo hali kujirudia mara kadhaa, siku ninapishana nae nikampa hi kama kawa then baada yakwenda hatua kadhaa mbele, nikajiambia nitafanya huu ujinga mpaka lini, what do I have to lose. Nikageuka nakuanza kumfuata hapo najiambia liwalo na liwe huku nikitafuta vitu kadhaa vya kumpigisha story kidogo ili anichangamkie ndo nimuombe namba.
Ile nimefika tu alipo, plan yote went out of the window, sema nikajikaza hivo hivo, nikamuuliza tu anaitwa nani kisha I told her; baada ya kupishana nae sekunde kadhaa zilizopita, I figured I should get her number. Akauliza yangu? Ni kamwambia ndio yako. Alipause for a sec kisha akanitajia. Huwezi amini ile namba niliichukua huku mkono unatetemeka kwasababu ya anxiety.
After that as they say the rest is history.
Kwahiyo mkuu sometimes it's all in your mind. Don't overthink things. Kuliko kukaa na what ifs, wewe siku just say f.uck it and go for it liwalo na liwe.
Kuna msemo usemao, Confidence isn't "she'll like me." Confidence is "I'll be fine wether she likes me or not."