UTAFITI USIO RASMI

UTAFITI USIO RASMI

pastor muyamba

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2016
Posts
252
Reaction score
135
Wanaume wenzangu,hili swala nguvu za kiume ,Mimi nahisi halipo ,
MAMBO YANAYOCHANGIA MWANAMME KUPIGA 1NA KUONEKANA KACHOKA
¹Mawasiliano yake mke
Unakuta Mme upo kazini unampigia Sim hapokei Mara kadhaa,
²unarudi nyumbani hakujali ,hakupi pole,
³wala hakuulizi habari za ka Mme wangu,
SASA HAPO UNAENDA KULALA ,HUNA AMANI HUNA FURAHA,UNAHISI ANA KUSALITI,NGUVU ZA ROUND 2_3 ZNATOKA WAPI?
Ukienda kwa mchepuko unapiga mambo,hadi unaridhika, MIMI NASEMA HAKUNA MGONJWA WA NGUVU WA ZA KIUME!!!
tililikaaaa na wewe tuelimishane
Asubuhi njema
 
Inawezekana unawaza kweli,,sijawah kuamin ktk upungufu wa nguvu za kiume wala kuamin matiba tiba ya michanganyiko inayotangazwa mara kwa mara,kama vile nisivyoamin semina za ujasiriamal,,naona ni usanii tu...

Napoz hapa juu kbsa
 
Kiumeni tunafelishwa na kikeni kwa uzembe flani tumejipandikizia kumkichwa.
Kwani ni lazima upewe pole!
Kwani ni lazima unyenyekewe!
Gangamala!!!
 
Kwanin kwa mchepuko upige 3,2,4,tuna do na wake zetu kutimiza tu sheria lkn mapenzi ya kweli hayapo,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom