Ketoka
JF-Expert Member
- Sep 23, 2015
- 1,121
- 1,983
Bwana katika maisha kuna changamoto hasa katika sekta hii ya mahusiano
Kuna kisa kimewahi kunitokea miaka mitatu iliyopita nikikumbuka huwa nacheka sana na kusikitika
Miaka mitatu iliyopita mke wangu amewahi kunifumania na mwanamke mwingine,huyo mke wangu alikuwa ameambiwa na watu kuwa mmeo ana mwanamke fulani ila alikuwa haniulizi kuhusu taarifa hizo
Siku moja mchepuko akaniita hotel moja nikaenda pale tukaaigiza viywaji tukaanza kunywa na mazungumzo ya hapa na pale mara ghafla wife akafika eneo husika,akamfanyia mchepuko fujo,hata bila kuhoji ikawa bifu kubwa nikaingilia ile fujo mke wangu akarudi nyumbani ,hapo nikamwambia mchepuka ngoja nije nikamfuata wife nyumbani kutuliza hali
Nikamkuta wife analia kwa hasira,nikabembeleza wapi,nikabembeleza wapi,ikabidi nimuache nikafunga mlango kwa kufuli nikamuacha sebuleni nikaenda kulala,lengo asije akaondoka usiku ule ili hasira zipoe tuongee
Mpaka SAA sita ndo akanyamaza,nilipoona kimya nikaamka nikaenda sebuleni nikaommba msamaha hakukubali
Wiki nzima hatuongei,anaongea kwa hasira na kwa ishara,ila baadae nikamuomba msamaha akakubali yakaisha tukarudi sawa
Baada ya miezi miwili,nikataka kumpima kama anaweza kunisaliti baada ya kunifumania,ana account fb nikacreat fake,majina fake ,nikamuomba urafiki akakubali
Baada ya masaa kadhaa nikaanza kuchati naye kawaida kwanza,nikamuuliza upo wapi akanambia na yeye akaniuliza uko wapi nikamwambia mji mdogo uliopo km 3 na town tunayokaa
Kesho nikaendelea tukachat,nitumie picha,akanitumia kama picha 5 ,akaniomba na mmi nikadownload za msela hata simfaham nikamtumia
Jioni,tuakaanza kuchati tena ,muda huo nipo tu hapo nje kwenye kijiwe cha draft,nikaanza kumtongoza kwa maneno matamu, na kumsifia alivyomrembo kisha nikamwambia nitumie namba ya sim akanipa
Kesho yake asubuhi tena nikamsalimia," mambo baby" akajibu "poa my nambie" umeamka salama"ndiyo nimeamka salama ", nikamwabia poa baadae
Baadae nikamuomba jamaa lain ya sim ambayo hatumii,nikatuma SMS" mambo baby" akajibu poa" akauliza nani" nikamwambia mi fulani,"Waooh ndo namba yako" nikasema ndiyo" akasema "Nambie my" nikamwambia malizia my nani"akacheka kwa emoji,akasema " oky my dear"
Nilicheka nikacheka nikacheka,nikasema huu mchezo nikiendelea nao nitaua mtu ngoja niuache
Nikafikiria sana nikasema huyu mwanamke kumbe anaweza na yeye kunisaliti kwa kulipiza kisasi
Nikapiga kimya,baada ya siku kama tatu akatuma sms fb" my mbona kimya" nikamwambia "Ooh mume wako amejua amenionya sana" akauliza kwani amejuaje ,sikujibu
Jioni narudi nyumbani,sweet hazikatiki,honey kibao,nikawa nacheka moyoni,na sikumwambia kilichokuwa kinaendelea na sikuwahi kumwambia
Mwanamke ni mwepesi sana kulipiza kisasi aiseee