howardlite
JF-Expert Member
- Jul 16, 2016
- 234
- 368
Kabla hatujaenda deep, Ninaamini juu ya the power of knowledge(maarifa) yanavyoweza kumbadilisha mtu na kuwa wa tofauti kabisa. Ivi tunajua na kuamini mada na michango ya watu Jamii forum ina nguvu ya kuweza kubadilisha maisha ya watu wengine? Kama ndio hata kwenye mada zenye mitazamo ya aina hii kuna watu wanabadilika na kuwa watu wazuri believe me.
Theoretically kila kitu katika maisha kinachoweza kuonekana kina chanzo chake(source) kinaweza kuwa kizuri au kibaya pia.
Vitu vingi na mambo mengi yameharibika katika maisha kwenye nyanja zote za maisha ya mwanamke au mwanamme kiuchumi,kimahusiano,kijamii na kiroho kwa kutokujua chanzo ni nani au ni nini. By nature kama uko sawa kama mwanadamu ukijua umekosea you regret(unajutia na kunatafuta kutokosea tena) vinginevyo inawezekana hauko sawa.
Naomba tusaidiane kujua nani ni chanzo cha matatizo na je Akibadilika anaweza kusaidia hata kupunguza basi ukubwa wa tatizo? References zitakuwa muhimu zaidi na lengo ni kujenga na sio kuharibu.