Mwanamke anaanzaje kukunyima unyumba ?

Mwanamke anaanzaje kukunyima unyumba ?

Mbishi 4 real

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
640
Reaction score
657
Nimekua nikiona watu mbalimbali wakilalamika kwamba wanayimwa unyumba na wake zao, sasa huwa najiuliza mwanamke anaanzaje kukunyima unyumba kama hayupo kwenye menstruation cycle.

Binafsi hata nimpende vipi mwanamke akininyima unyumba aiseeeee lazima nimtoe kwenye system unless otherwise awe kwenye siku zake tu.Mwanamke kama anakunyima unyumba na hayupo kwenye siku zake jua kwamba kuna mwenzako anakula kiulainiiiiii.

Kama mwanamke anakunyimma tunda bila sababu ya msingi piga chini chalii angu, asikuletee mambo za kisolo.

Ni hayo tu
 
Mwanamke ukimuandaa vema anaanzaje kukunyima unyumba?????....... Stop being SELFISH
 
Hahahaha nakwann mwanamke wako anayekupenda. Akunyime tunda??

Kaaaaaazi kwelikweli . Mie nmeifata Kibaha [emoji13]
 
Back
Top Bottom