Nadhani mke wangu anamegwa usiku huu... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nadhani mke wangu anamegwa usiku huu...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Nousernameleft, Dec 11, 2010.

 1. N

  Nousernameleft New Member

  #1
  Dec 11, 2010
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani,

  Mwenzenu nilisafiri jana kikazi mbali kiasi cha kutosha na kwangu. Mchana wa leo wife kaniandikia msg anasema kuna mtu ananitafuta, nikamwambia si umwambie sipo nitarudi keshokutwa? Akasema naogopa, na anakuja kulala kwetu. Nitamtandikia sebuleni. Kijumba tulichopanga ni kidogo sana, na hakina nafasi ya kulala wageni. lakini bado mgeni kakaribishwa. Napiga simu usiku wife hapokei simu hadi iite mara tatu. Na si kawaida yake hata kidogo.

  Jamani kuna usalama hapo, au NDIO NIMEKUWA BUSHOKE?
   
 2. tzjamani

  tzjamani JF-Expert Member

  #2
  Dec 11, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 997
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mmmmmmmmhhh,

  Fanya uchunguzi mkuu.
   
 3. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #3
  Dec 11, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  heheheeh dah, yaani hii sredi nimecheka mbaya sana. wakuu saidieni hii comedian victim
   
 4. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #4
  Dec 11, 2010
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,858
  Likes Received: 4,536
  Trophy Points: 280
  Duh! Rudi fasta kabla mtu ajajenga kibanda.
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Dec 11, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Nitarudi hapa
   
 6. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #6
  Dec 11, 2010
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Wacha ujinga tunajadili mambo ya maana hapa! Kama humwamini mkeo mtaliki mambo yote yanakuwa FINITO. Usiwe Mwizi tu kama jamaa flani hivi.
   
 7. N

  Nightangale JF-Expert Member

  #7
  Dec 11, 2010
  Joined: Dec 5, 2010
  Messages: 261
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huyo 'mtu' ni nani? Kwa nini alale kwako?
   
 8. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #8
  Dec 11, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  he walah unaibiwa weye.....eti anaogopa kwa hiyo anahitaji mtu kulala naye au sio?
   
 9. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #9
  Dec 11, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  unazungumzia nini vile
   
 10. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #10
  Dec 11, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Blaza hapo imekula kwako. Umeoa kicheche ndugu yangu. Pole sana maana huenda mkeo anam ride jamaa mida hii au analamba koni. Na lawama zote abebe huyo mkeo kicheche kwa kutoa kitumbua chake kwa hiyo njemba. I feel your pain lol
   
 11. MartinDavid

  MartinDavid JF-Expert Member

  #11
  Dec 11, 2010
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 876
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Kama humwamini then fanya uchunguzi kaka....
   
 12. M

  MUSINGA JF-Expert Member

  #12
  Dec 11, 2010
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 376
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 45
  mh mbona hamuwaamini hivyo!!!
   
 13. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #13
  Dec 11, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hakuna mtu mwenye akili timamu na mwenye chembe za busara atakayeegemea imani yake kwa mkewe au mumewe kwenye mazingira kama hayo. Kwa ufupi huyo mke ana elements za ukicheche.
   
 14. Lasikoki

  Lasikoki JF-Expert Member

  #14
  Dec 11, 2010
  Joined: Jan 10, 2010
  Messages: 642
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  ndugu ukiacha suala la kumwamini mkeo huoni kwamba pamoja na yote unamdhalilisha huyo mwana mama aitwae mkeo? Assume hamegwi which I believe so na wewe unaweka thread kama hizi jamvini tuanze kumjadili mkeo! Lol! Mimi binafsi naona ni kumdharau na kumdhalilisha mkeo na zaidi sana inaonesha jinsi ulivyopungukiwa na adabu! Shabaash!
   
 15. czar

  czar JF-Expert Member

  #15
  Dec 11, 2010
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 340
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Usijali watakuwa wanamaongezi tu na simu iko kwenye mtetemo kwa hiyo haisikiki. Kama mnywaji kamata bia kadhaa chapa usingizi bila blanketi chapa ntu.
   
 16. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #16
  Dec 11, 2010
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...wewe endelea na shughuli zako, hata akimega hawezi kuinyofoa akaondoka nayo.
  Unajitisha bure tu. Usiku mwema.
   
 17. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #17
  Dec 11, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Pole,dont go looking for shit,let shit find you,
  akimegwa poa tu,usipanik ukirudi mpe pole.mke anaweza kumegwa ukiwa upo home bila wewe kujua,so tuliza moyo na akili endelea na plan zako.
   
 18. SUCRE MARIACH

  SUCRE MARIACH Senior Member

  #18
  Dec 11, 2010
  Joined: Jan 27, 2010
  Messages: 106
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Omba mungu na bila shaka kama kuna ukweli utajua mapema tu...
   
 19. M

  MUSINGA JF-Expert Member

  #19
  Dec 11, 2010
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 376
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 45
  jamani acheni kutoa maushauri msiyokuwa na uhakika nayo,mna ushahidi kuwa huyu dada anamegwa,msivunje ndoa za watu ambazo hamjui zimejengwa kwa gharama gani
   
 20. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #20
  Dec 11, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  I wonder what the world would be like if we all had such off-the-wall attitude(s) like this. Heheheheeee
   
Loading...