Maombi kwa ajili ya wanaume

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Jul 30, 2016
16,622
27,561
*_TUOMBE KWA AJILI YA WANAUME._*

1. Atapiga offer za kutosha bar lakini nyumbani harudi hata na Fanta ya kopo

We Mungu wetu waondolee wanaume sifa za kijinga.

2. Ana pair moja ya soksi akivua humo ndani mtafutano

Ee Mungu, wajaalie usafi wa miili na roho zao.

3. Anarudi usiku wa manane ila sharti amkute mkewe hajalala ili afunguliwe mlango

Hakika sio wao, Mungu uwaongoze

4. Mchepuko unanunuliwa nyama daily, wakati watoto na mama wamekuwa Sungura kwa kula majani kila leo

Mungu mwenyezi warudishe njia kuu.

5. Hawataki kabisa simu zikaguliwe na wake zao kila program imewekwa password

Waongezee uaminifu Ee Mungu wetu

6. Siku akichinjwa kuku, basi wao hupewa mapaja firigisi na sehemu zingine nzuri nzuri

Mungu muumba, wajaalie uchu wa kupenda vipapatio na shingo za kuku.

7. House girl akijichanganya, kapewa mimba

Ee Mola waepushe na tamaa za mwili.

8. Ameshika ratiba ya mpira wa Uingereza kuliko mahitaji ya msingi ya nyumbani kwake..

Yaa Allah, wajaze baraka za kujali..

9. Ifikapo siku za ibada wengi hawaendi, huwatuma wake zao wakawaombee

Mungu wetu, nakuomba siku ya hukumu kila mmoja abebe mzigo wake..

10. Kwenye simu ataandika majina ya Chinga, Braza, na Mabruki muosha magari, kumbe hao ni ASHURA, Mage na Salome

Waumbue Mungu

Mama Sabrina
Mama G
 
Eee Mwanaume lazima ulete kash kash mpaka mkeo ajue kweli Mwanaume yupo!

Kamata hausegirl + marafiki wa mkeo gegeda

Mke akikuzingua tia Kofi

Weka heshima bar alaaaah

Mwanaume unaanzaje kurudi nyumbani saa mbili

Rais mwenyewe anaomba watanzania tumuombeee Kwanini Mi nisimuagize mke akaniombee ?

#NB
Sijaoa lakini
 
Last edited:
Eee Mwanaume lazima ulete kash kash mpaka mkeo ajue kweli Mwanaume yupo!

Kamata hausegirl + marafiki wa mkeo gegeda [emoji]

Mke akikuzingua tia Kofi

Weka heshima bar alaaaah

Mwanaume unaanzaje kurudi nyumbani saa mbili

Rais mwenyewe anaomba watanzania tumuombeee Kwanini Mi nisimuagize mke akaniombee ?

#NB
Sijao lakini
The World is running crazy because of the mankind
 
Ukiwa na mwanaume anakufanyia yote hayo uliyoorodhesha hapo juu kwenye uzi wako, basi fahamu kwamba anajuta sana kukuoa sasa ili kuondoa msongo wa mawazo anafanya yote hayo kujiriwadha. Anatafuta furaha ya moyoni ambayo haipati kwako, psychologically anakuwa affected.

Lakini kama mwanaume kakuoa na anafurahia kuwa na wewe na hajuti moyoni mwake kukuoa, kamwe hawezi kuwa PUGI, atafanya kila awezalo kufurahia maisha akiwa na wewe.
 
11: mwanamke asiingie kwenye siku zake ili tuwagegede mpaka the end

Ee Mungu wazibe mirija yao
 
Naangalia muvi ya American Shaolin nimefika pale star anafanyiwa majaribio ya mwisho sijui kwanini sikulijua hili enzi za utoto ila leo nagundua ni dhahiri lile halikua jaribio, walitaka kumuua.

Also niggas are lying as fu.ck
 
*_TUOMBE KWA AJILI YA WANAUME._*

1. Atapiga offer za kutosha bar lakini nyumbani harudi hata na Fanta ya kopo

We Mungu wetu waondolee wanaume sifa za kijinga.

2. Ana pair moja ya soksi akivua humo ndani mtafutano

Ee Mungu, wajaalie usafi wa miili na roho zao.

3. Anarudi usiku wa manane ila sharti amkute mkewe hajalala ili afunguliwe mlango

Hakika sio wao, Mungu uwaongoze

4. Mchepuko unanunuliwa nyama daily, wakati watoto na mama wamekuwa Sungura kwa kula majani kila leo

Mungu mwenyezi warudishe njia kuu.

5. Hawataki kabisa simu zikaguliwe na wake zao kila program imewekwa password

Waongezee uaminifu Ee Mungu wetu

6. Siku akichinjwa kuku, basi wao hupewa mapaja firigisi na sehemu zingine nzuri nzuri

Mungu muumba, wajaalie uchu wa kupenda vipapatio na shingo za kuku.

7. House girl akijichanganya, kapewa mimba

Ee Mola waepushe na tamaa za mwili.

8. Ameshika ratiba ya mpira wa Uingereza kuliko mahitaji ya msingi ya nyumbani kwake..

Yaa Allah, wajaze baraka za kujali..

9. Ifikapo siku za ibada wengi hawaendi, huwatuma wake zao wakawaombee

Mungu wetu, nakuomba siku ya hukumu kila mmoja abebe mzigo wake..

10. Kwenye simu ataandika majina ya Chinga, Braza, na Mabruki muosha magari, kumbe hao ni ASHURA, Mage na Salome

Waumbue Mungu hawa pugi

Mama Sabrina
Mama G
Af io Na.9 io... Nakupinga muda wote
 
*Mwanamke unamkuta hajaoga tangu asubuhi ananuka papuchi........
*Ukirudi kwenye mihangaiko ni buugu mtindo mmoja..........
*Chakula hajui kupika........
*Unakuta mwanamke mchafu km ana mtoto mdogo unamkuta hajabadilishwa pampers toka alivyoveshwa asubuhi......
*Mwanamke hajui kumpetipeti mumewe majibu ya jeuri na karaha.........
*Unamkuta mwanamke muda wote yupo busy na mambo yake hakujali wewe wala watoto kama sio smartphone basi umbea na mashoga zake...........
*Unarudi nyumbani unakuta mashooga wamejazana kweji kichumba kimoja wanaangalia season, sasa kwanini tusishinde bar turudi tukute umelala tuingie ndani huku tumebana pua kwa harufu mbaya ya nguo chafu na vyombo
 
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom