Marafiki hivi inakuaje you love someone deeply but you don't trust him/her?
Hakuna tatizo kubwa au kosa kubwa lililosababisha nikose kumuamini. Saa nyingine nahisi ni wivu juu yake sasa as a...
Wanabodi jichukulie wewe kama kijana ambaye hujafika 30 au ndo umeanza itafuta 30,uliolewa au ukaoa,kwa bahati mbaya mwenzi wako akatangulia mbele za haki,au mkaachana kwa talaka mahakamani,is it...
Natumia fursa hii kutoa hongera zangu za dhati kwa demu wangu mzazi kwa kutusua LST first sitting ..
Hongera sana baby .. Cohort yenu wame disco watu kibao na wengine wengi wana vimeo ila wewe...
Acheni tu
Nilimsubiria Ubungo usiku kucha alifika saa saba usiku. Tumefika nyumbani saa nane akaoga akalala aligoma kula nikala mwenyewe usiku huo.
Kesho yake aliamka saa nane, tukaenda mtaani...
Nakumbuka siku moja nilifundwa mtoto wa kike unatakiwa kuwa safi muda wote, utakate mwili, ung'ae sura yani kwenye ndoa unatakiwa upendeze hata kama umejifunga kanga tu ila uwe umependeza...
Jamani nipo na mdada mmoja tupo sote kwenye program moja hivi huku vijijini actually ni office mate wangu na tupo karibu sana.
Sasa ngoja mnisaidie gt's wa mmu tokea jana binti hana raha kula...
Jamani naomba mnisaidie nina mdogo wangu wa kike naishi nae ni 5 yrs asa wanafunga shule namuonea huruma kataboreka as tupo kijijini na siwezi kumuacha home peke yake naenda nae job sasa kitu cha...
Unakuta umeoa mwanamke mwema na anakupenda so unamkuta ana mali nyingi. Unamuacha tu akuzalie kisha unamuua ili uishi na unayemfeel, jamani inauma. Kama humpendi mtu mwambie na kama unapenda hela...
Za asubuhi wapendwa
Hawa watoto wa kiume hawanaga adabu yaani wanapenda kutongoza watu wazima jamani loohh!!
Tena hawaogopi hata kidogo jamani..loohhh!!
Hawaogopagi kuwachungulia wazazi...
Habarini wakuu?
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza katika kufanya uchunguzi wangu nimegundua kwamba wanawake wembamba aka models wanaolewa sana na kudumu kwenye ndoa kuliko wanawake wenye...
Mojawapo ya nyimbo nzuri sana kwa wanandoa ni hii ya Bahati Bukuku.
Chorus
Maneno yao umeyasikia maneno yao × 4
Verse
Eti wanasema hivi nilivyo sio hadhi yako
Eti wanasema kukupata wewe mimi...
Bila shaka weekend imeenda vyema kwenu kama ilivyo kwangu
Niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna uvumi ya kuwa wanawake wengi sana huingiliwa kimwili na waganga wa kienyeji aidha kwa matakwa yao...
Nawaza kwa kina ni kwa namna gani nitakuwa salama kwenye mahusiano katika ulimwengu huu ambao uaminifu, imani uvimilivu, upendo wa kweli vyote vimeondoka katika mioyo ya binadamu. Siku hizi watu...
Yaliyopita yanafurahisha
Nakumbuka back 2007 nikiwa nimerudi likizo ya chuo Nikaamu kutafuta kazi ya kufanya ili nisiboreke Sana kitaa.
Bro akanikonect na boss lady flani hivi aliyekuwa...
Habarini wadau,
Nimekuwa nikijiuliza sana hili swali kwasababu ni asilimia kubwa sana ya wanaume wanalalamikia ndoa zao. Ndoa zimekuwa na kero nyingi na mikasa ya ajabu haswa usaliti n.k ndoa ina...
Habari wanajukwaa,
Pesa sabuni ya roho.
Pesa chanzo cha maovu yote.
Misemo tajwa hapo juu ni baadhi ya taswira jinsi pesa inavyodhaniwa, mjadala wetu unachonganisha juu ya uwezo wa pesa kama...
Naumia nionapo chozi lako sihitaji kuona michirizi ya huzuni katika mashavu yako ingawa mapenzi uvumilivu ,usikivu nashukuru
Masikio yangu yana mwangwi wa sauti tulivu itokayo kinywani mwako...
Habari wana jukwaa
Kuna kadhia nimekutana nazo katika ndoa za jamaa zangu watatu tofauti ambao mmoja ni jamaa yangu toka utotoni, mmoja nilisoma nae shule ya sekondari kidato cha tano na sita na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.