Kuna hii tabia ya michepuko kuleta mbwembwe nyingi chumbani pindi tu anapojua kwamba kuna mwenzake ambae alimtangulia na still yupo active.Unaweza ukamtafutia sehemu ya kukaa ukafungulia na biashara hata kama ni ndogo lakini akiri yake yote inakua ni kumtoa mwenzake ndani ya nyumba ili abaki mwenye.
Ukiwa nae chumbani kwenye yale mambo yetu utaona mara kakukalia hivi mara kakaa vile yani ilimradi tu akuchanganye na mahabati ili mwishowe aweze ku take over the business.Yani atajikunja kiasi kwamba unaweza ukamuweka hata kwenye mfuko mdogo wa Rambo na akaenea.
Alieanza kaanza kwahiyo kila mtu atakula kwa urefu wa kamba yake na sio kuleta mbembwe nyingi ili kumfanya mwenzio aachike ubaki mwenyewe.Mbwembwe zikizidi sanasana utajikuta unajiharibia tu kuliko kujenga.
Michepuko punguzeni mbwembwe na kila mtu ale kulingana na urefu wa kamba yake.