KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 20,154
- 40,943
Habari za muda huu wapendwa bila shaka Mungu amewaamsha salama!!!!
Wanaume wenzangu wengi wamekuwa na mitazamo isiyofaa baada ya kuoa hali inayozua mgogoro wa chini kwa chini uso kuwa rasmi na hatimaye kuzaa tamaa ya usaliti au kuishi kulingana mazoea
Wanaume wenzangu wengi wanadhani jukumu lake ni kuijali familia yake kwenye mahitaji ya kimwili pekee kama vile chakula ,mavazi na malazi....huku wakisahau jukumu lingine muhimu kwa ustawi wa ndoa yako na familia yako kwa ujumla!!!!!
Kila kiumbe huvutiwa na kujiweka karibu na Mtu anayemjali na kumfanya ajione muhimu zaidi!!K
Kujaliwa na kuthaminiwa kihisia ni hitaji la kila mwanadamu kwani mguso wake ni wa kipekee zaidi lakini pia ni jambo la kupendeza sana kama hayo yanatoka kwa mtu ambaye ni mumeo au mkeo....
Wakati mwingine wapendwa wetu hawa hitaji chochote kutoka kwetu zaidi ya uwepo wetu tu karibu yao!!!!
Kuijali familia yako kusiishie tu kwenye mahitaji ya msingi kwa mwanadamu Kwani hata hilo pia ni moja ya hitaji la msingi kwa mwanadamu akiwemo na mkeo!!!!.....
Tenga muda na mkeo na familia yako!!!
NB;
Nimeshuhudia migogoro mingi kwenye mahusiano au ndoa kutokana na jambo hili