Umepataje namba Yangu?

Umepataje namba Yangu?

Lucky One

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2013
Posts
663
Reaction score
431
Habarini wadau wa JF

Basi pasipo kupoteza muda. Wadau wenzangu hususani wanaume huwa mnatokaje mkiulizwa swali hili

Umepataje namba yangu?

NB: Hilo swali umeulizwa na mdada mrembo asiyekufahamu baada ya kumpigia simu. Namba umepewa na mshikaji wako

Msaada wadau nimekwama huku
 
Mtumie twenty mpesa au tigo pesa then Mwambie kwan ajabu kuwa na namba yako..?afu unamalizia acha ushamba.
 
Kwanza mtu anaye uliza swali kama hilo mi moja kwa moja namshusha dhamani kabisa, kwani kupata namba napo ni swali lakumuuliza mtu,
 
Habarini wadau wa JF

Basi pasipo kupoteza muda. Wadau wenzangu hususani wanaume huwa mnatokaje mkiulizwa swali hili

Umepataje namba yangu?

NB: Hilo swali umeulizwa na mdada mrembo asiyekufahamu baada ya kumpigia simu. Namba umepewa na mshikaji wako

Msaada wadau nimekwama huku
Ni hua namsnich tu Mshikaji alie nipa namba then naanza kutupia swaga nae siku akibanwa atajijua namna ya kusolve
 
Ni hua namsnich tu Mshikaji alie nipa namba then naanza kutupia swaga nae siku akibanwa atajijua namna ya kusolve
Liwalo na liwe
[emoji23][emoji23][emoji23]

Utakosana na wana
 
Back
Top Bottom