Dakika moja tu....maliza basi

Dakika moja tu....maliza basi

Cosovo

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2018
Posts
667
Reaction score
1,821
Huyu mpenzi wangu wa kike miaka 28 sijui huwa ana tatizo gani....nikiwa naye faragha yaani dakika moja haiishi

Nikianza kumuandaa kama dakika 6 huhitaji nimpande....nikisha mpanda dakika 2 hazifiki...utasikia kelele za mshindo...akisha maliza hunitaka nami nimalize haraka

Round ya pili hivyo hivyo....siku nyingine naweza kumuandaa kama dakika 10 nashitukia anamaliza na hapo hudai amechoka

Nikimuuliza kwa nini uko hivyo....anadai anajiona yupo sawa

Tatizo ni nini?
 
Mkuu yuko sa wa sema ananyege za haraka inawezekana hafanyi mara kwa mara
 
anaogopa utamchafua na sha ha wa zako ambazo hazina virutubisho
 
Mkuu huyo ni mgonjwa hata mm niliwahi kutana na kama huyo
Nikampatia dawa sasa mambo poa kabisa. Anapatikana wapi mkuu naweza msaidia bure tu.
 
Yupo sawa ndio kila mtu anainjoy kivyake.

Akimaliza ni bola upumue kwa dakika kadha bila kuchomoa pumzi zake zikishuka anza kiss hafu tartiiibu unaendelea
 
Basi hiki ni kitu cha ajabu sana? ila mwanamke akikojoa unaebdelea kumpa mambo tu ataendelea kukojoa
Kuna ambao wakifika inakua nikero kwao.kuna ambao huishiwa nguvu kabisaa jiulize mda huo atakua anajisikiaje
 
Yupo sawa ndio kila mtu anainjoy kivyake.

Akimaliza ni bola upumue kwa dakika kadha bila kuchomoa pumzi zake zikishuka anza kiss hafu tartiiibu unaendelea
Tatizo anadai tupumzike kwanza kama dakika 10
 
Ni lini JF wameanza kuruhusu mifugo kuanzisha mada?

Haya mambo ya kupandana si ya mifugo haya?
​
 
Back
Top Bottom