Mke wangu amenisaliti ......LIVE....naombeni ushauri wenu TAFADHALI | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mke wangu amenisaliti ......LIVE....naombeni ushauri wenu TAFADHALI

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by NGOSWE.120, Jun 18, 2012.

 1. NGOSWE.120

  NGOSWE.120 JF-Expert Member

  #1
  Jun 18, 2012
  Joined: Jul 9, 2011
  Messages: 221
  Likes Received: 156
  Trophy Points: 60
  Ndugu zangu wana JF,

  Mke wangu ni mwalimu wa sec, ana mtoto mdogo wa miezi 6, toka ajifungue vituko vilikuwa haviishi....kuninunia daily sometimes hadi 3 weeks or mwezi. Nilipoona mambo yanazidi nilimrudisha kwao kwa muda kama wa mwezi mmoja hivi kwa sababu alikuwa ana maternity leave. Hata hivyo nilijua huenda postnatal period ndio inamfanya awe vile hivyo kwangu nikaona ni busara kuwa mpole ili kuepusha shari.

  Aliporudi kutoka kwao tuliishi kwa maelewano mazuri kwa muda wa wiki moja tu, then yakarudi yale yale...ful mnuno kwangu lakini stori nyingi tu kwa mashost zake na majirani.

  Mke wangu anafundisha kibaha, na tulikuwa tunaishi sote Dar sababu ndiko nilikojenga kibanda chetu cha kuishi na pia mimi ndiko ninakofanyia kazi. Mwezi uliopita nilishangaa mke wangu kuniambia kuwa yeye anataka kuhamia kibaha ili awe karibu na kituo cha kazi, pili ili aweze kupunguza gharama za usafiri za kila siku. Ikumbukwe kuwa ameanza kazi toka February 2011 na mimi siulizii mshahara wake anafanyia nini yeye ndiye ajuaye....but baada ya hoja yake hiyo nikajiuliza apunguze gharama za nauli....? je hela anafanyia nini? sikutaka ugomvi nikamruhusu lakini nikamuuliza vipi kuhusu maandalizi akasema kila kitu kipo sawa...chumba, kitanda+godoro na mahitaji mengine yote.

  Ameondoka tarehe 04 June kuhamia kibaha, nikamwambia nitampeleka na gari hadi kibaha alikataa kata kata na kusema nimuache tu ubungo atapanda bus. Pia aka-haidi weekend atarudi lakini hakurudi na bila kutoa sababu. Ijumaa ya juzi amerudi home but still hakuwa mchangamfu, pia kuonekana kama ana chuki nami.

  Kwa kuwa ni muda mrefu sijapata unyumba na yeye ndio mke wangu usiku wa kuamkia leo nikaomba haki yangu,.....WANA JF HAMUWEZI KUAMINI LAKINI NAWAAMBIA UKWELI....Nimekuta ikulu ya mke wangu imetumika kiasi cha kutosha saana hadi kiasi kwamba nilipatwa na mshangao wa ajabu....hiyo ilikuwa round ya kwanza, nilipojaribu ya pili...nilishindwa kumaliza game...coz sio K bali ni hatari. NILIUMIA SANA.

  Toka saa 8.30 usiku sijalala hadi saa 10.30 usiku/alfajiri, niliamua kumuuliza tena kwa upole huku nimemkumbatia....kuwa huko kibaha ana wanaume ana-do nao!Alikataa kata kata....but alipoona naongea kwa upole sana akaingia kingi na kusena ndio anakiri ...lakini ni mwanaume mmoja tu ndio anatembea nae lakini sio wengi. Nikahoji ni nani huyo? nikaambiwa ni mfanyabiashara, anakaa kimara baruti, mmeanza toka lini mahusiano yenu....akasema toka...mwezi uliopita, mlifahamiana wapi.....tulifahamiana kwenye bus wakati naenda kazini.

  Baada ya hapo akaanza kuliaaa.....na kusema anaomba nimsamehe!Nikamuuliza uliomba ruhusa ya kuhamia kibaha ili uwe huru? Je umekosa nini kwangu au mimi nilikuwa sikutoshelezi? akajibu hapana!

  ......WANA JF am so sorry kwa maelezo marefu but nimechanganyikiwa na simuelewi mke wangu. Anataka nimsamehe, but kabla sijachukua maamuzi nimeona ni vema niwashirikishe nyie ndugu zangu ili niweze kujiridhisha kwa uamuzi nitakao uchukua baada ya kupata maoni yenu.

  NARUDIA TENA.....SAMAHANI KAMA MTAKWAZIKA KWA KUSOMA MAELEZO MAREFU...!

  UPDATES

  1. mke wangu ana miaka 32 na wala sio mtoto wa under 20!
  2. UKIWA MAKINI NA MKEO/MPENZI WAKO NI RAHISI SANA KUJUA KAMA K IMETUMIKA....believe my words plse.


  @ NGOSWE.120


   
 2. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #2
  Jun 18, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  Mkuu pole sana na mkasa huo. Najua how Much does it pain kugundua kuwa unasalitiwa But huyo ni mkeo na kama ana apologize na atabadilika ili muweze kujenga family ni vizuri sana ukamsamehe kwa sababu ni mkeo. angekuwa Girlfriend ningekusahuri umuache lakini Mke ni tofauti kidogo. Mpe Muda wa ku restart na umfuatilie ili kuhakikisha haridii tena.
   
 3. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #3
  Jun 18, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,869
  Likes Received: 6,608
  Trophy Points: 280
  Pole sana Mkuu. Msamehe shemeji kama amekiri kosa na kuacha.Ni hayo tu...
   
 4. Elizaa

  Elizaa Senior Member

  #4
  Jun 18, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 160
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Pole,Muombe Mungu akupe maamuzi sahihi, kwa jinsi nijuavyo mwanamke ambae si mwaminifu ni vigumu kubadikika
   
 5. conveter

  conveter Senior Member

  #5
  Jun 18, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Pole ariff kwa mkasa uliokukuta.
   
 6. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #6
  Jun 18, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,321
  Likes Received: 1,787
  Trophy Points: 280
  Everything is managable for better or worse...tulia na fanyia kazi what is working and what is not ili uamuzi utakaotoa uwe based on facts na sio emotions
   
 7. Mirhea

  Mirhea JF-Expert Member

  #7
  Jun 18, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 317
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Duu pole sana kaka yangu. Ngoja wapo kule kwenye birthday ya Kongosho wakirudi watakupatia ushauri wa busara jas be patient..
   
 8. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #8
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  hizi story zinasikitisha sana...

  kwakuwa mimi si mkamilifu, basi ngoja nisikie mawazo kwa wengine, nisije kumwaga sumu mbaya hapa
   
 9. Mkwai

  Mkwai JF-Expert Member

  #9
  Jun 18, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 308
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  pole sana sana, ni mtihani mzito huo. Subiria ushauri kutoka kwa wana bodi hapa the utachanganya na wako kabla hujafikia maamuzi. But as for me.. hapo ndio ilikuwa iwe mwisho wa ndoa.
   
 10. Myheart

  Myheart Member

  #10
  Jun 18, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 50
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tafakari sana kabla ya kufanya maamuzi.
   
 11. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #11
  Jun 18, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,700
  Likes Received: 12,750
  Trophy Points: 280
  Huyo ni mkeo kama kaomba msamaha msamehe ila mshauri mkapime afya(v.v.u), ni vyema ukafanya hivyo,pia ujaribu kufuatilia kama kaachana nae kweli asijie akawa ana kufariji.
   
 12. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #12
  Jun 18, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,469
  Likes Received: 4,128
  Trophy Points: 280
  Huo mtihani mkubwa ndugu yangu. Hapo nakushauri umrudishe tu hapo Dar uishi naye akiendelea kuishi peke yake huko Kibaha ataendelea kukusaliti.
   
 13. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #13
  Jun 18, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  pole kaka, but kabla ya kumsamehe jaribu kujua, kuchunguza tatizo, root ya yeye kucheat, irekebishe ili hiyo hali isijirudie tena! mngekuwa hamana watoto ningekwambia umuache, coz hata biblia kwa cc wakristu inakubali kuachana kwa sababu moja tu,, ya adultery. pole in advance!
   
 14. RGforever

  RGforever JF-Expert Member

  #14
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 3, 2011
  Messages: 6,165
  Likes Received: 1,890
  Trophy Points: 280
  Pole sana Mkuu!!!
  Nikamuuliza uliomba ruhusa
  ya kuhamia kibaha ili uwe
  huru? Je umekosa nini kwangu au mimi nilikuwa
  sikutoshelezi? akajibu
  hapana!


  Hebu Mpe SECOND CHANCE lakini hii nafasi ni kwa ajili ya kumchunguza pekee na kwenda kupima... Maana kama ni kweli anataka msamaha hata Rudia ila kama Ataendelea tafuta Usitarabu mwingine kabla hayajawa makubwa na Kukuletea UKIMWI/STD's nyumbani
   
 15. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #15
  Jun 18, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  Baba, pole na matatizo!
  Nashindwa kuamini, ina maana huyo mchaga wa kimara baruti anaitumia na kuisasambua kiasi cha kuchoka ndani ya mwezi mmoja tu?! Ina maana wewe ulikuwaga unabofya tu?

  Natamani ungeangalia nafasi yako kwenye kusimamia nyumba yako.
  1 humuulizi mkeo hela yake anapeleka wapi. Je, ulishawahi kuwaza anatumia kiasi gani cha kipato chake kidogo cha ualimu kwa nauli na chakula mchana? Je anachoka kiasi gani kutoka umbali mnaoishi na kibaha? Ulishajaribu walau kumsaidia ahamie karibu ama kupangisha nyumba yenu na nyie kuhamia kibaha ama kibamba ili asiwe mbali sana na kazini?

  2 pamoja na mkeo kuwa mnunaji, ulishawahi kuvunja ukimya hata kwa hisani yako? Unasema hujapewa unyumba muda mrefu; ulishawahi kujadili na mkeo na kumjulia khali kama yeye anapata wapi unyumba kama nyumbani haupatikani?

  3 Funga kazi ni mkeo kukuambia anataka kuhamia karibu na kazini, chumba na kitanda na godoro tayari na wewe kuona ahueni! Na unaacha mkeo na mwanao kuhamia tena kwa basi mahali usipopajua! Kwa hela usizozijua?!

  Pole kwa kukupa dawa chungu! Ukijitathmini ulipokosea utajua jinsi ya kushona na kuweka viraka koti lako.
   
 16. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #16
  Jun 18, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  temana naye huyu asijekuweka kwenye mtandao wa wenye wapenzi
  wengi ukafa bure
   
 17. G

  GALIMA JF-Expert Member

  #17
  Jun 18, 2012
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 275
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  pole ndugu umempa uhuru mwingi. punda haendi bila mjeledi.
   
 18. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #18
  Jun 18, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  you can always tell a woman from a girl.... I hope he will read this advice hata kama ni chungu!!!
   
 19. samora10

  samora10 JF-Expert Member

  #19
  Jun 18, 2012
  Joined: Jul 21, 2010
  Messages: 6,638
  Likes Received: 1,427
  Trophy Points: 280
  mmmh... Hivi unaweza kujua kama katumika sana recently eeeeeh?
   
 20. Kalumbesa

  Kalumbesa JF-Expert Member

  #20
  Jun 18, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,009
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Nakubaliana nawe ila inamlazimu shemeji yetu kuacha kazi huko,kwa sababu mbili kwanza kuwa karibu na mumewe ikiwezekana atafute kazi karibu ama mume amtafutie biashara yoyote afanye pili asiende kuonana na hao watu waliompelekea kusaliti ndoa yake
   
Loading...