Mwanamke mwerevu hutunza heshima yake kwa maneo matendo na mavazi yake.
Hakikisha ukiwa mzuri na mrembo basi uwe na akili ya kufikiria pamoja na nidhamu ili usiwe daraja la wanaume walafi.
Wadau poleni ni mihangaiko, leo nataka tutafakari hili jambo kwa pamoja, ni nini hasa kiini cha maumivu ya kimapenzi? Kwa nini ukiachwa na mpenzi hasa unayempenda maumivu huwa makali? Kwa nini...
Juzi nilikuwa natoka sehemu kwenye mishe zangu ,ghafla nikamkuta shemu wangu stand anaposubiriaga usafiri akitoka chuo nikampa lifti kuelekea home nikachepuka sehem kupata 1,2.
Ila sehemu yenyewe...
hello mendez n Madonna.
I salute u in the great name of love.
leo nataka nishare na nyinyi jambo dogo lakini muhimu sana katika nyanja mbili,
yan mapenzi na usafi kwa wote ...
Mara nyingi huwa siamini haya mambo ila kuna mshkaji wangu simuelewi. Tunafanya wote mradi flani ila jamaa akipata pesa hata kidogo tu yote nzima nzima anapeleka kwa mwanamke wake badala ya...
Kiukweli mm mdogo wangu amenitangulia kuoa,na Leo n sherehe ya harusi yake....
Mm naishi DSM na kwetu n mkoani huko sasa ndio nikapewa hbr za hyo harusi...nmefurah lkn kwa upande mwingne nahis...
Kuna imani (myth) zilizojengwa tangu kale kuhusu mwanamume ktk suala zima la mapenzi..
Imani hizi ni;
1. Men want sex anywhere, anytime
2. Men have affairs because of sex
3. Men are comfortable...
Amani iwe nanyi wapendwa,awali ya yote nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa rehma na baraka tele anazotujalia kila siku.
Wadau baada ya ushauri wenu katika uzi huu>>> Akina Dada kwanini hamtaki kutumia...
Kuna siku ulishakaa peke yako ukasema kwamba mimi kupenda tena basi ? Inatokea kwa wengi na ni maumivu ya kutendwa ndio yanayosababisha kauli hiyo,, Haimaanishi kuwa ulitamka kwa hasira au kwa...
Una mpenzi wako, mpo katika uchumba. Kwa kipindi chote ame fake kuwa ni muumini wa dini fulani ambayo ndio unayo wewe.
Sasa siku unakuja gundua si kweli, hana dini na haamini uwepo wa Mungu...
Kwa maoni yangu huu ndio msemo wa kilofa ulio katika kiwango cha juu kabisa cha ulofa na kwa wakati wote
ALIEKUPA WEWE NDIO ALIENINYIMA MIMI..
Siamini kama kuna msemo mwingine wa kilofa unao...
Unakuta mwanamke ana mume wake kabisa au mpenzi wa kiume lakini anatafuta mtu mwingine wa kudanga, yupo radhi kusafiri hata mikoani ili alifate danga lake afanye mapenzi ndo apewe pesa. Naandika...
Habari Zenu wakuu
Naombeni kwa ushauri kwa mke kama huyu :-
1 ) Ni mtu anapenda kutafuta chokoro chokoro kutwa
2) Ni mtu hapendi sana ndugu zangu wala utani hana nao kidogo wakifanya nae Jokes...
Una mtokea manzi, mkakutana na kuchati siku mbili tatu, unamuomba game. Matokeo yake anakuja juu, umeniona mimi malaya au cheap girl. Yaani anachukia eti mmekutana juzi tu leo una muomba game...
Saikolojia inasema hivi. Mwanaume hawezi kumpenda mwanamke anayejibizana naye au kumfokea.
Saikolojia hiyo hiyo pia inasema hivi. Hakuna Mwanaume mkorofi mbele ya Mwanamke mnyenyekevu.
Je ? Ni...
Ukimwangalia mpenzi wako unaona nini?
Unaona future yenye furaha na mafanikio?
Au unaona migogoro na vikwazo vingi maishani?
Yote yanaweza kua majibu.
Ukishapata majibu basi ndio utajua uendelee...
Nimeandika habari hii kwa masikitiko sana baada ya kuoneshwa text moja na ushauri uliyoambatana nayo.
Mama mmoja ameomba ushauri afanye nini mtoto wake wa kiume ana miezi 8 mashine haisimami kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.