beevenom
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 313
- 433
Amani iwe nanyi wapendwa,awali ya yote nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa rehma na baraka tele anazotujalia kila siku.
Wadau baada ya ushauri wenu katika uzi huu>>> Akina Dada kwanini hamtaki kutumia ubongo katika mahusiano? - JamiiForums ilinibidi nitoe hela ili Dada atolewe kwa jamaa wa nguo za kahawia.
Sasa lile jamaa lake bwege kabisa yaani hata kwenda kumuona tu halijaenda pia hata kutafuta pesa hamna. Nikawaza kuwa hivi ninyi Dada zetu ukitoa mikito mikalimikali hakuna kingine mnachoangalia? Yaani kama kuna mwalimu wenu ebu rudini class tena.
Kesho ndo kamanda wake anapanda kwa pilato na nitawapa mrejesho baada ya kunyonyolewa. Ila Dada nimemwambia mapema kabisa kuanzia sasa asinisimulie mambo yake ya kijinga na mhuni wake na sitatoa hata mia.
Dada zetu nani anawaroga ninyi? Ndoa ni zaidi ya kufukuliwa aaaah!