Una mtokea manzi, mkakutana na kuchati siku mbili tatu, unamuomba game. Matokeo yake anakuja juu, umeniona mimi malaya au cheap girl. Yaani anachukia eti mmekutana juzi tu leo una muomba game.
Sasa hivi unatakiwa ukae muda gani tangu unapokutana na manzi ndo uombe game?
Sasa hivi unatakiwa ukae muda gani tangu unapokutana na manzi ndo uombe game?