muhala.jr
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 751
- 659
Ukimwangalia mpenzi wako unaona nini?
Unaona future yenye furaha na mafanikio?
Au unaona migogoro na vikwazo vingi maishani?
Yote yanaweza kua majibu.
Ukishapata majibu basi ndio utajua uendelee nae au msiendee na hatua yeyote.
Usidhani sababu kuna talaka kwenye ndoa basi ndo ukaingia tuu bila mipango.
Usidhani ukiishindwa ndoa ya kwanza basi ya pili utaiweza.
Jitahidi uuone mwanga kwenye ndoa kabla ya kuingia.
Wengi wetu tumekua tukiingia kwenye ndoa Bila justification...au sababu haswa.kumbuka ndoa ni taasisi anayokua Na mungu kati yenu.usiingie kweny ndoa ili upate zawad au uonekane kua umeoa au kuolewa.
Nimeona vijana wengi tukitafuta wake/wachumba wa kuoa au kuolewa lakini tumekua Na vigezo kedekede. Degree Na elimu zetu,urembo Na dini zetu....uzur na pesa au kazi zetu hazina nafasi katika ndoa ..jiulize wangap wameoana wakiw Na pesa au wazur Na ndoa hazikudumu??ukifikifkiria kuingia katika ndoa usiwaze vitu vya Ku pride ..mbay hata wazaz wetu wanapang mahal kwa kuangalia vitu ivo..vijana wenzangu tujiepushe Na kuoa au kuolewa kwa sifa ambazo hazina faid katika ndoa zenu...