Kudanga ndio namna mpya ya kujiuza

Isack Elia

JF-Expert Member
Jul 9, 2016
331
474
Unakuta mwanamke ana mume wake kabisa au mpenzi wa kiume lakini anatafuta mtu mwingine wa kudanga, yupo radhi kusafiri hata mikoani ili alifate danga lake afanye mapenzi ndo apewe pesa. Naandika kwa uchungu sababu nimetuma nauli siku ya tatu leo hapatikani kwenye simu.

Nashindwa kutofautisha wadangaji na wanaojiuza kabisa wote ni kundi moja tu.
 
kwa mambo yalivyokutokea nahisi sas umekua na akili kuwa ni nini kinaendelea.. sifikirii kama utaludia upuuzi huo.

Me huwa nawaambia tumia ghalama zako ukifika pesa yako utaikuta, kama huwez achaa girlz wako weng tusigandane kama luba
 
Nimekoma aisee
 
Unakuta mwanamke ana mme wake kabisa au boyfriend lakini anatafuta mtu mwengne wa kudangia .. yupo radhi kusafiri hata mikoani ili alifate danga lake agegedwe apewe pesa ... Naandika kwa uchungu coz nmetuma nauli siku ya tatu leo hapatikan kwny simu ... Nashindwa kutofautisha wadangaji na wanaojiuza kabsa wote ni kundi moja tu
Mtoa mada wahuni wamekupiga
 
Back
Top Bottom