Naombeni ushauri, nimsaidieje mwanachuo huyu?

pakamwam

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2013
Posts
516
Reaction score
656
Mimi mwalimu chuo x.

Mwanafunzi anadai aninipenda sana kiasi anashindwa kuelewa somo langu kabisa.

Nimewapa assesent kweli hajafanya vizuri ingawa masomo mengine anafanya vizuri.
Kweli sijaoa lakini huyu bado ni mtoto kwangu na ndio mwaka pili tu.

Nisaidieni ushauri namna ya kumfanya huyu binti ambaye kweli Ni mzuri na innocent ili amalize shule vizuri

Yaani haoni aibu kusema nakupenda mwalimu. Nimeogopa ujasiri wake huyu mtoto.
 
Paka mwenzangu niruhusu nikushauri asubuhi..
 
Mimi mwalimu chuo x.

Mwanafunzi anadai aninipenda sana kiasi anashindwa kuelewa somo langu kabisa.

Nimewapa assesent kweli hajafanya vizuri ingawa masomo mengine anafanya vizuri.
Kweli sijaoa lakini huyu bado ni mtoto kwangu na ndio mwaka pili tu.

Nisaidieni ushauri namna ya kumfanya huyu binti ambaye kweli Ni mzuri na innocent ili amalize shule vizuri

Yaani haoni aibu kusema nakupenda mwalimu. Nimeogopa ujasiri wake huyu mtoto.
Weka picha
 
Muda gani huo unampa kumsikiliza hayo aliyokuambia?

Kwanini bado unampa muda akueleze?

Mnawasilianaje au mnaongea uso kwa uso?
 
Alafu ni mwalimu..asieee hawa ndo wanaokwamisha tz ya viwanda rais ashughulikr nao sio kununua wapinzani.
-PAXP-deijE.gif
10153814_723549034354507_8996775292787645050_n.jpg
Hiyo ni barua ya maombi ya kazi nliipokea ofisini anaomba kufundisha kasomea ualimu na alikuwa siriaz sana na alikuja na kimemo kupitia mjadili mswada Dodoma,nafikiri mkuu alikuwa alikuwa hamfahamu kiundani.
 
Mkuu iko hivi,wanaume yeyote unawaza kila mdada au binti ambaye yuko mbele yake au ambaye anakutega unawaza kutembea nae na Kuoa kabisa.Note huo ni mtazamo hasi(negative).
Pozi kidogo huyo binti angekuwa mwanao au dada yako ungemshauri Nini Kama mwingine angekuja kuomba ushauri Kama wako naamini ungetupa majibu hapa sahihi.maana maandiko yanasema upandacho ndicho utakacho vuna.
USHAURI WANGU KWAKO.
Mwambie ukweli huyo mtoto asome Maana mshika mawili moja humponyoka na maandiko yanasema huwezi kutumikia Mabwana wawili kwamba atampenda huyu na kumchukia huyu,mwambie huyo mwanafunzi wakati anatoka kwa wazazi wake kuja shule her ultimate goal ni kusoma and note otherwise mkuu.
Nimemaliza na asikiaye na Afahamu.
 
Yaaan wewe kwel ni mwalimu wa chuo kweli ndo ukaka ukawazaaa ukashindwa ukajaleta uzi humu. Daaah
 
-PAXP-deijE.gif
10153814_723549034354507_8996775292787645050_n.jpg
Hiyo ni barua ya maombi ya kazi nliipokea ofisini anaomba kufundisha kasomea ualimu na alikuwa siriaz sana na alikuja na kimemo kupitia mjadili mswada Dodoma,nafikiri mkuu alikuwa alikuwa hamfahamu kiundani.
Mpe afundishe stadi za kazi
 
  • Thanks
Reactions: amu

Similar Discussions

Back
Top Bottom